Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 475
- 936
Kwani ukishangilia au ukicheka mi nitakua nasikia makelele yako nipo zangu kwenye jenezaHabari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya
Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako uliyonayo kukemea vitendo vya utekaji na mauaji ya watanzania wasio na hatia siku ukifa wewe au mkeo au mtoto wako au ndugu yako yeyote wa karibu tusilazimishane majonzi wala salamu za pole
Kama wewe ulishindwa kuwaonea huruma baba,mama,dada,kaka,watoto wa watanzania wenzio wanotekwa na wanaouwawa na watu wasiojulikana basi msitegemee huruma tukoka kwetu wananchi
Kuna watu kwenye hii nchi wanajiona wao ndo binadamu wanaostahili kuonewa huruma ila watanznia wengine ni kama ng'ombe na mbuzi ambao wao wakifa ni sawa tu
Hii nchi ni yetu sote lakini hapa tulipo tumeshafika pabaya sana...kama kuna mtanzania ambae anadiriki kwenda nyumban kwa mtanzania mwenzie na kutoa ndani ya nyumba yake na kwenda nae kusikojulika na kisha kuchukua uhai wake kwa mateso makali basi muelewe tu kua hii nchi tumefika pabaya sana na kama mbwai na iwe mbwai...wananchi mishipa ya huruma imeshakatika na kufa mwenu kwetu sisi ni sherehe
Na naomba niwe muwazi tu siku nitakayosikia JK au SSH amekufa nawakaribisha nyumban kwangu kutakua na bufe la nyama choma,pilau na biriani kwasababu wameshindwa kuliponya hili taifa
Wananchi wa kongwa mitano tena na kazi iendelee
Hapa nategemea kuona waliojitwisha jukumu la uchawa wakija hapa kwa majuto na kuwaomba radhi watanzania na taifa kwa mchsngo wao hasi hadi kulifikisha taifa hapa iwe kwa ushabiki wao dhidi ya matendo maovu dhidi ya watanzania ama kuwatetea wanaofanya maovu kwa watanzania ama kuwavikwazo kwa maendeleo ya kweli ya taifa hili.Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya
Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako uliyonayo kukemea vitendo vya utekaji na mauaji ya watanzania wasio na hatia siku ukifa wewe au mkeo au mtoto wako au ndugu yako yeyote wa karibu tusilazimishane majonzi wala salamu za pole
Kama wewe ulishindwa kuwaonea huruma baba,mama,dada,kaka,watoto wa watanzania wenzio wanotekwa na wanaouwawa na watu wasiojulikana basi msitegemee huruma tukoka kwetu wananchi
Kuna watu kwenye hii nchi wanajiona wao ndo binadamu wanaostahili kuonewa huruma ila watanznia wengine ni kama ng'ombe na mbuzi ambao wao wakifa ni sawa tu
Hii nchi ni yetu sote lakini hapa tulipo tumeshafika pabaya sana...kama kuna mtanzania ambae anadiriki kwenda nyumban kwa mtanzania mwenzie na kutoa ndani ya nyumba yake na kwenda nae kusikojulika na kisha kuchukua uhai wake kwa mateso makali basi muelewe tu kua hii nchi tumefika pabaya sana na kama mbwai na iwe mbwai...wananchi mishipa ya huruma imeshakatika na kufa mwenu kwetu sisi ni sherehe
Na naomba niwe muwazi tu siku nitakayosikia JK au SSH amekufa nawakaribisha nyumban kwangu kutakua na bufe la nyama choma,pilau na biriani kwasababu wameshindwa kuliponya hili taifa
Wananchi wa kongwa mitano tena na kazi iendelee
Wasipotubu na kuomba radhi tusije kuonana wabaya...kikombe alichokinywea mjomba mpoto kila mtu atakinyweaHapa nategemea kuona waliojitwisha jukumu la uchawa wakija hapa kwa majuto na kuwaomba radhi watanzania na taifa kwa mchsngo wao hasi hadi kulifikisha taifa hapa iwe kwa ushabiki wao dhidi ya matendo maovu dhidi ya watanzania ama kuwatetea wanaofanya maovu kwa watanzania ama kuwavikwazo kwa maendeleo ya kweli ya taifa hili.
Ni bora ikawa hivyo iwapo ikiwa ni njia mbadala kuliokoa taifa kwa uwezo wa Mungu.Wasipotubu na kuomba radhi tusije kuonana wabaya...kikombe alichokinywea mjomba mpoto kila mtu atakinywea
Litakuwa fundisho kwa kizazi chako,na wanaokupenda.Kwani ukishangilia au ukicheka mi nitakua nasikia makelele yako nipo zangu kwenye jeneza