Viongozi wastaafu walishtukizwa kuongea na wameongea ukweli

Siasa za sasa ni za visasi. Unapotezwa na unaonekana sio mzalendo. Yaani ni shida sana ubabe mpaka chumbani
 
Muhimu Tanzania sasa hivi ni ‘middle income country’ kwa ivyo serikali ina kila sababu ya kujivunia.

Hilo hakuna anaeweza likataa na kuna kila sababu ya watanzania wote kusherehekea hiyo mile stone.
Mkuu target ilikuwa uchumi wa kati wenye average income ya $3000.00 hiyo target mpya ya just kuingia uchumi wa kati wa average income ya $1080 labda ni yenu wasukuma
 
Mwinyi hajui kinachoendelea duniani
 

Nchi hii ina watu wana akili za ajabu. Yaani mtu akiwaza tofauti anakuwa katumwa, muharibifu, mleta chuki nk. Binadamu tunawaza tofauti kwa sababu tuna tofauti katika malezi, mafunzo, elimu, mila, desturi na tamaduni!

Kwani hapa kuna mtu kadanganya kuhusu yaliyotamkwa?? Matokeo ya maneno ya JMK, Shein na AHM ni kukosa mpangilio. Hotuba na mada hupangwa - usipopanga inakuwa off the script, isiyozingatia muda!!

Wewe unayedhani kuna haja ya watu hao kutotofautiana, ungeweza kuokoaje hali ile?? Words cannot be taken back - just take them!!
 
Mkuu target ilikuwa uchumi wa kati wenye average income ya $3000.00 hiyo target mpya ya just kuingia uchumi wa kati wa average income ya $1080 labda ni yenu wasukuma
Safari ya mile 1000 inaanza na hatua moja; atujafika wastani wa $3000 lakini sasa hivi tunatumbulika kama middle income country that is a milestone.

Na watanzania inatakiwa tujivunie hilo ni hatua kubwa kwa taifa.
 
Safari ya mile 1000 inaanza na hatua moja; atujafika wastani wa $3000 lakini sasa hivi tunatumbulika kama middle income country that is a milestone.

Na watanzania inatakiwa tujivunie hilo ni hatua kubwa kwa taifa.
Mkuu kwani milestone ilikuwa kutambulika au kuongeza kipato Cha watu wetu?Huko kutambulika kumeongeza nini kwenye maisha yetu?
 
Mkuu kwani milestone ilikuwa kutambulika au kuongeza kipato Cha watu wetu?Huko kutambulika kumeongeza nini kwenye maisha yetu?
Labda we kigogo, huku mtaani sasa hivi watu washaanza kuona maeneo yao kuwa na zahanati na ambulance sio luxury tena ni haki yao ya msingi na visipo kuwepo wanadai. Ajabu yenyewe hiyo dhana imejengeka ndani ya miaka mitano tu.

Kunufaika sio lazima kila mtu apate financial gain, investments in ‘public and merit goods’ ni sehemu ya kuwagusa watu.

Hata ukiwekewa taa ya barabarani mitaa ambayo usiku ulikuwa kupita unafikiria mara mbili, ila uwepo wa taa unakupa ujasiri wa kupita bila ya uoga economically umenufaika.

Sasa hivi watoto kukaa chini tena madawati wanaona ni sehemu ya haki zao, unaweza kuona ni kwa namna gani Magu kabadili fikra za watanzania kuona vitu gani ni haki yao; wakati miaka mingi tu kukaa chini au kutokuwa na zahanati ilikuwa inaonekana ni jambo la kawaida tu.

Kwa ivyo hii dhana ya kusema anachofanya akigusi watu ni upotoshaji.
 
Kuna wakati natamani sana tumuombe msamaha Kikwete ..kiukweli huyu legend nimemkumbuka sana..hakuwa mkamilifu kama mwanadamu ila he did his best kwa kweli...
 
Hana ubavu

Uzuri anakale kamsemo alikokuwa kakaasisi, akili za kuambiwa.....!

Mumkumbushe kuwa LMIC ambayo Mh JPM na Watanzania wanayojivunia inawahusu watu wa hali ya chini kimaisha ambao ndio Rais siku zote anasisitiza kwamba anahitaji kuwatumikia kwa karibu. Sasa yeye na matajiri wenzake hatushangai wanayo ya kwao ya mtazamo wa daraja lao la kimaisha, 3000, ndio sababu hii ya1080 si chechote/rubbish. Ni haki yao kuikebehi wala hawajakosea.
 
Unanzunguzia nchi hii?
 

Natamani video clip yenye compilation ya hizi statement mbili.
 
Unanzunguzia nchi hii?
Ndio ukweli huo mtaani mkuu, Tanzania ya Magufuli ni something else.

Unajua kwa sababu yeye mwenyewe yupo obsessed na kuongelea miradi ya infrastructure unaweza ukadhani hakuna mengine yanayofanyika.

Mwambieni Jaffo akimaliza ziara zake badala ya kuishia kwa Millard Ayo tu; apige picha ya kila shule sio mambo yao ku film na drone, kila zahanati, barabara na miradi inayoendelea kila wilaya ya nchi hii atupie kwenye website yao nakuhakikishia watanzania wakiona kinachofanywa anaesimama kushindana na Magufuli anaweza onekana chizi.

Nyie msifanye mchezo Magufuli kapiga kazi sema tu hayuko interested kuongelea miradi isiyo ya infrastructures.
 
Labda hiyo miradi inafanyika huko kwenu.Budget tu anazitekeleza kwa wastani wa 40% Sasa hiyo miradi anaitekeleza kwa pesa ipi?Mshahara wake? Kwenye corona kaamua kujitoa ufahamu na Kisha kuwatoa ufahamu watanzania akiogopa kukosa pesa ya kulipa mishahara,Sasa wewe unaleta utopolo gani? Au wewe ndo una macho tu ya kuona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…