Viongozi wastaafu walishtukizwa kuongea na wameongea ukweli

Usonajisi vitabu vitakatifu na mawazo yako ya kishetani.
 
Upo tayari nikuletee videos ya kila ninachoongea kwa ushahidi?

Ningekuwa Dr Bashiru ningekuwa naanda gazeti sasa hivi linaolezea na kuonyesha kila mkoa na kila wilaya Magufuli kafanya nini kwa picha na kusambaza nchi nzima; watu waone wenyewe.

Ningetengeneza website na videos kuonyesha hiyo miradi imewagusa watu vipi moja kwa moja.

Mnaongea tu siasa, lakini Magufuli kapiga kazi.
 
Hiyo ndio tabia mbaya ya UKWELI!!!
UKWELI HUWA HAUNA TABIA YA KUJIFICHA WAKATI WOTE!!
 
Huna sababu ya kunipa hizo video,wewe nitajie tu kuwa Dar kafanya hiki na kile, mkuu nimeshatembea karibia mikoa yote ya Tanzania nimeacha tu kipindi hiki cha corona,hakuna nisikojua,wewe taja
 
Huna sababu ya kunipa hizo video,wewe nitajie tu kuwa Dar kafanya hiki na kile, mkuu nimeshatembea karibia mikoa yote ya Tanzania nimeacha tu kipindi hiki cha corona,hakuna nisikojua,wewe taja
Dar ndio usiseme nikitaja hapa simalizi yaani ata yale aliyoonyesha Makonda kwenye ziara yake ayatoshi.

Mkuu usiku mwema shetani wa kwenda bar anapiga hodi, wacha nimalizane nae.

Alamsiki
 

Ila Dr Ulimboka hatamsahau JK!
 
Siasa za sasa ni za visasi. Unapotezwa na unaonekana sio mzalendo. Yaani ni shida sana ubabe mpaka chumbani
Hatari sana JK hakuficha kabisa ,waliogombea urais na JIWE wengi wamepotezwa ,Kilichomsaidia Lameck Madelu aka Mwigulu Nchemba ni kulamba miguu ya MEKO 24/7 hadi JIWE akamuonea huruma.

Threats February Marope na Jasusi wamepotezwa mazima!!
 
Ila Dr Ulimboka hatamsahau JK!
Dr Ulimboka alitekwa na Ramdhani Ighondu ,Ulimboka mwenyewe alimtambua na pia Side Mnyamwezi Kubenea aliweka hadi ushahidi wa mawasiliano yao A to Z ,hakukuwa na mawasiliono ya Ighondu na JK bali Ighondu alifanya kwa utashi wake mwenyewe.
 
Battle ya mkapa na kikwete ilikuwa independent kabisa..hakuna aliekuwa pandikiz wote walikuwa wanachuana from no where..lakin hili la membe na mgu..n tofaut membe alikuwa pandikiz na kutokana na serikal iliyokuwa inaondoka ilikoroga sana uchumi..ndo mana watu wakamkataliaa membe..lakin pia fuatilia baada ya kikwete kumpisha mkapa..alikuaa mtulivu wala hakuwa na kimbelembele cha kuhoji ushind wa mkapa..bali alifanya kaz vzur na mkapa..tofaut na membe ambae alihisi ile nafasi ni yake pekee na ni haki yake kupewaa..ndio mana baada ya Magu kushinda yeye akaendelea kupiga domo huko nje pasi na kukubaliana na hali halisi maisha yasonge..
Hvyo sio sahihi kulinganisha battle ya BMW na JMK vs JPM na BKM
 

Hata nyimbo za TOT zilimhusu zaidi JPM kuliko Mkapa. Njaa mbaya sana!
 
kikwete na Magufuli ni mfano mzuri wa mtu aliye elimika na mtu aliyenda shule. aliye enda shule ni mtu aliye kwenda shule kusomea cheti cha kupamba sebureni kwake na mtu aliye elimika yeye cheti sio mhimu sana anaweza hata asimalize chuo ila akapata elimu ya kutosha kumpa ujuzi wa kumuwezesha kufanya anacho tamani kufanya. mifano ya watu wa aina hii ni mingi sana ila watu wa aina hii ni wachache mno. mmoja wa watu hawa ni kama Billgate yeye alienda chuo kikuu kusomea compter science lakini kabla hajamaliza akawa ameisha pata uwezo wa kutengeneza soft ware ya computer inayoitwa Microsoft's leo ni billionaire wa dunia. sasa tukija hawa wanao somea vyeti hawa ni wengi sana na wamejaa kila nchi hawa ndio kama kina magufuli. hawa wakienda shule kazi yao ni kukariri maswali na majibu. unakuta vichwani mwao wamejaza vitu walivyo visoma kwenye vitabu wakati wakiwa shule. watu wa aina hii hujiona kuwa ni wasomi na huwa hata maogezi yao mara nyingi hujikuta wanaongelea mambo ya vyuoni. ukiwatowa kwenye topic za vyuoni utawakuta wanakosa cha kuongea. watu wa aina hii huwa hawana uwezo wa kuongoza kabisa ila kwasababu ni wajaja wa kukariri huwa wanajuwa mbinu za kufanya vizuri kwenye interview za kazi. na wakisha pata kazi basi watafanya kila wawezalo ili waonekane kuwa kazi wanaiweza kuliko watu wengine. ila ukweli hawajiamini, na kwasababu hiyo ya kutokujiamini utawakuta wakiwa kazini mdawote wanakuwa bize na kazi zao . kitu hicho hufanya mabosi wao kuwaamini na kuwapa vyeo kiurahisi sana. watu wa aina ya Magufuli wakipata madara makubwa ni hatari sana. watanzania mjii andae kwa mateso.
 
Huyu wa sasa dosari zake zimepitiliza Mkuu, miaka mitano tu tumeshuhudia UHALIFU wa kutisha. Itoshe tu kusema MITANO INATOSHA.
 
Maana yake ni kuwa JK hakuwa ameshitukizwa kuongea si ndiyo,Sasa alipangaje ataongea hayo wakati kwenye ratiba hakuwemo?Au alikuwa na hasira ya jamaa kuwaweka kwa muda mrefu

Wakwere ninaishi nao na ni watani zangu nawapendaga sana kwa kuchomekea
 
Heshima ya Sumaye CCM ilishuka baada ya kukubali kukatwa mkia ili arudi zizini.

Pamoja na kuwa Lowasa alikatwa mkia lakini watu hawa wana ushawishi tofauti katika chama.
 
Kikwete alimaliza hatuba yake kwa kusema kuwa hiyo ndio gharama ya kukurupushwa kuongea. Ama kweli Kikwete aliuweka wazi ukweli bila kuogopa, sikutegemea hayo pale msibani.
LOooo, nilikuwa sijakusoma mkuu wangu 'fazili'; kumbe una bonge la mada hapa!

Hongera sana kwa kuiweka hii, kwani wengine ilitupita pembeni kidogo.

Taratibu tu, kila mmoja, hata mawe yatazungumza safari hii.

Mwinyi yeye hakushikilia pale pale kwa Magufuli kuongezewa ngwe zaidi na zaidi?
 
Mkapa baadaye alifanya kazi kwa karibu na Kikwete na hapakuwepo na uadui. Rejea hatima ya Membe mwaka huu ndani ya CCM kwa kujaribu kumshindanisha JPM.

4. Kikwete aliweka wazi kuwa bado serikali hii ina kazi kubwa kufikia lengo la $3000 mwaka 2025 na kwamba sasa wamefikia $1080 tu bado $1920.

Kikwete alimaliza hatuba yake kwa kusema kuwa hiyo ndio gharama ya kukurupushwa kuongea. Ama kweli Kikwete aliuweka wazi ukweli bila kuogopa, sikutegemea hayo pale msibani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…