Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Kuna mambo machache yaliwaharibia, mwendezake aliwapa nguvu na kutokana na ushamba na ulimbukeni wa madaraka mkalewa sana hata tone zenu zilibadilika sana mkajiona miungu watu, Pole pole alikuwa anapigia simu watu usiku tena live unajiuliza huyu si mwenezi tu mbona anajigamba ivo, Lakini thats reason Mama ataendelea kuwa Phase out mdogo mdogo kuna mawaziri bado wanaishi kwa zama za mwendezake narudia wabadilike na waanze ku lay low sana wasipende cheap politics, Waziri wa afya Gwajima amesha notice ilo ndo mana amekuwa mkimya