Viongozi wenye kutisha watu majukwaani hawamalizagi round kwa sababu wana akili ndogo za kutawala. Simba mwendapole ndiye Mla nyama

Kwa mimi ambaye nimekuwa sehemu ya utendaji ngazi za chini Serikalini haswa halmashauri, ninawaunga mkono baadhi ya viongozi kama Chalamila.

Haswa pale Mawasiliano bila mkwara wale watu hawaelewi.

Hujiona Soko na stendi ni vya kwao.

Sehemu ambayo sheria hazifuatwi huwa hivyo.

Kazi ya sheria ndio hizo
 
Sikatai kuwa Kila mtu ananamna na njia ya kutawala. Nilichoeleza hapa ni kuwa hao wanaotumia njia za vitisho wengi wao hawatoboi kwenye Ringi.

Sipo hapa kuelezea mtizamo au kubadilisha hulka au silka ya mtu yeyote isipokuwa kuelezea matokeo ya baadhi ya mitizamo, hulka au mbinu.
Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.
 
Mkuu umepungukiwa ufahamu Ushawahi kumsikia Waziri wa uingereza akifokea watu
Kwa mimi ambaye nimekuwa sehemu ya utendaji ngazi za chini Serikalini haswa halmashauri, ninawaunga mkono baadhi ya viongozi kama Chalamila.

Haswa pale Mawasiliano bila mkwara wale watu hawaelewi.

Hujiona Soko na stendi ni vya kwao.
umepungukiwa
 
Si unaona Samia alivyousambaratisha upinzani.
Ukitaka kuumaliza upinzani ruhusu demokrasia wakitaka maandamano wape police wawalinde,
Kausambaratisha upinzani, lakini anaogopa uwepo wa tume huru ya uchaguzi!
 
Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.
Nimeshindwa kuipandisha video naomba moderators wanisaidie
 
Mkuu umepungukiwa ufahamu Ushawahi kumsikia Waziri wa uingereza akifokea watu
umepungukiwa

Pamoja na kwamba tunatumia Sheria za Uingereza, lakini bado sheria hizo ni lazima zitafsiriwe na kutekelezwa kwa muktadha wa mazingira ya Tanzania.

Sheria za uongozi na utawala Kwa Tanzania ni lazima ziwe na matumizi ya nguvu kiasi.
 
Screenshot_2024-07-13-17-06-54-1.png
 
Pamoja na kwamba tunatumia Sheria za Uingereza, lakini bado sheria hizo ni lazima zitafsiriwe na kutekelezwa kwa muktadha wa mazingira ya Tanzania.

Sheria za uongozi na utawala Kwa Tanzania ni lazima ziwe na matumizi ya nguvu kiasi.
Kwanini usitumie akili? Nguvu zitumike kwenye michezo ya olimpiki
 
Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.

Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.

MATHAYO 13​

10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” 11Yesu akawajibu, “Nyinyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa. 12Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa. 13Ndio maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.
 
Romans 13: 1-7
 
Back
Top Bottom