Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Kwa mimi ambaye nimekuwa sehemu ya utendaji ngazi za chini Serikalini haswa halmashauri, ninawaunga mkono baadhi ya viongozi kama Chalamila.
Haswa pale Mawasiliano bila mkwara wale watu hawaelewi.
Hujiona Soko na stendi ni vya kwao.
Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.Sikatai kuwa Kila mtu ananamna na njia ya kutawala. Nilichoeleza hapa ni kuwa hao wanaotumia njia za vitisho wengi wao hawatoboi kwenye Ringi.
Sipo hapa kuelezea mtizamo au kubadilisha hulka au silka ya mtu yeyote isipokuwa kuelezea matokeo ya baadhi ya mitizamo, hulka au mbinu.
Baadhi ya wananchi bila kuwatisha wanazoea vibayaHuwezi kuona Mbunge au diwani anatishia wananchi sababu anajua ndiyo waajiri wake, lakini hawa wajinga DCs/RCs wapo juu ya sheria
umepungukiwaKwa mimi ambaye nimekuwa sehemu ya utendaji ngazi za chini Serikalini haswa halmashauri, ninawaunga mkono baadhi ya viongozi kama Chalamila.
Haswa pale Mawasiliano bila mkwara wale watu hawaelewi.
Hujiona Soko na stendi ni vya kwao.
Kausambaratisha upinzani, lakini anaogopa uwepo wa tume huru ya uchaguzi!Si unaona Samia alivyousambaratisha upinzani.
Ukitaka kuumaliza upinzani ruhusu demokrasia wakitaka maandamano wape police wawalinde,
Yaani anawafokea wananchi?Viongozi kama hawa wanasubiriwa uraiani tu
Ova
Anajua hawezi shinda kwa hakiKausambaratisha upinzani, lakini anaogopa uwepo wa tume huru ya uchaguzi!
Nimeshindwa kuipandisha video naomba moderators wanisaidieUnaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.
Mkuu umepungukiwa ufahamu Ushawahi kumsikia Waziri wa uingereza akifokea watu
umepungukiwa
Kwanini usitumie akili? Nguvu zitumike kwenye michezo ya olimpikiPamoja na kwamba tunatumia Sheria za Uingereza, lakini bado sheria hizo ni lazima zitafsiriwe na kutekelezwa kwa muktadha wa mazingira ya Tanzania.
Sheria za uongozi na utawala Kwa Tanzania ni lazima ziwe na matumizi ya nguvu kiasi.
Waafrika vichwa ngumuKwanini usitumie akili? Nguvu zitumike kwenye michezo ya olimpiki
Huwezi kumtisha boss wakoBaadhi ya wananchi bila kuwatisha wanazoea vibaya
Ndivyo ilivyo
Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.
Unaweza kuwa sawa au sio sawa sababu hujaweka mifano ya hao walitumia vitisho na hawakutotoboa ni wapi ili tuweze kuujadili huu uzi na sisi kwa kuweka mifano.
Romans 13: 1-7MATHAYO 13
10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamwuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” 11Yesu akawajibu, “Nyinyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, lakini wao hawakujaliwa. 12Maana, aliye na kitu atapewa na kuzidishiwa; lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho kitachukuliwa. 13Ndio maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.