Viongozi wote wa Yanga na mdhamini GSM waondoke. Manji rudi utuokoe, mmetutia aibu

Tutolee ujinga hapa huna akili kijakazi wa mudi.
Mishahara utalipa wewe akiondoka?
 
Acha kudanganya watu wewe. Kama Simba isingefanya vizuri msimu uliopita CAF wangechukua mshindi wa pili wa ligi? Kubali tu ulibebwa na Simba mkuu sio kesi

Acha uongo ni Simba ndo imewabeba,tff ndo wameweka kanuni za michuano au CAF,na hata kama mmefuzu kucheza CAFCL kwa uwezo wenu ndo mtolewe mapema hivi? timu kubwa mnazidiwa na timu ndogo ya biashara!
Ni Yanga tu ndo mmetia aibu nchi yetu nzuri.
 
K
kwani matokeo ya fainaili kule kigoma ilikuwa ngapi ngapi?
 
Tatizo yanga ni viongozi na GSM,Tokea ghalib allingie yanga kila mwaka wanasajiri team karibia yote mpya.viongozi wetu wamewekwa mfukoni team iko chini ya hersi said MTU asijue hata ABC ya mpira wetu,yupo kulinda maslahi ya boss wake.viongozi watupishe huwezi kuuza mchezaji eti kwasababu utapewa kambi ya bure.ujinga wa kiwango cha dunia kabisa.
 
Acha uongo ni Simba ndo imewabeba,tff ndo wameweka kanuni za michuano au CAF,na hata kama mmefuzu kucheza CAFCL kwa uwezo wenu ndo mtolewe mapema hivi? timu kubwa mnazidiwa na timu ndogo ya biashara!
Ni Yanga tu ndo mmetia aibu nchi yetu nzuri.
Uko sahihi sio tumetia aibu yanga imefedheesha hili taifa.wanaraka inabidi waiongeze yanga kweli mambo yanayolokwamisha hii nchi kama ilivyo katiba mpya
 
Mazombie ya utopolo mnabagazwa na Msukule wa GSM na nyie mnajaa kabisa
 
GSM anaifanya Yanga kama fremu ya kuuzia bidhaa zake tu.
 
Kama sio mnyama unatafuta kuonedoa stress hata sijui
 
K

kwani matokeo ya fainaili kule kigoma ilikuwa ngapi ngapi?
Mbona kanuni za TFF ziko wazi! Matokeo ya nini tena! Ukifika fainali na iwapo unaye shindana naye amechukua ubingwa wa ligi kuu, wewe mshindibwa pili unashiriki Shirikisho.

Kwa hiyo hata kama nafasi zingekua ni mbili tu, bado Yanga ingeshiriki kwa kufika kwake fainali Kombe la Shirikisho. Hivyo hakuna Panya yeyote yule aliye mbeba.
 
Acha uongo ni Simba ndo imewabeba,tff ndo wameweka kanuni za michuano au CAF,na hata kama mmefuzu kucheza CAFCL kwa uwezo wenu ndo mtolewe mapema hivi? timu kubwa mnazidiwa na timu ndogo ya biashara!
Ni Yanga tu ndo mmetia aibu nchi yetu nzuri.
Yanga ingeshiriki mashindano ya kimataifa mwaka huu kwa namna yoyote ile, kwa sababu ilifika fainali Kombe la shirikisho na Simba kuchukua ubingwa wa ligi kuu.
 
Acha kudanganya watu wewe. Kama Simba isingefanya vizuri msimu uliopita CAF wangechukua mshindi wa pili wa ligi? Kubali tu ulibebwa na Simba mkuu sio kesi

View attachment 1945442
Yanga ilifika fainali kombe la shirikisho! Hivyo ingeshiriki kombe la shirikisho baada ya simba kuchukua ubingwa wa ligi kuu. Sasa huko kubebwa kuko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…