Viongozi wote waandamizi wa BODI YA LIGI KUU YA NBC na TFF wanatakiwa kujiuzulu leo hii kwa kushindwa kusimamia hili sakata la mechi ya watani wa jadi

Mkono Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2019
Posts
3,359
Reaction score
6,568
Kwa hasira kali!

Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.

Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi itakuwepo na hivi mchana wametoa tena taarifa kuwa mechi haitakuwepo leo hii.

Bodi ya Ligi na TFF watuambie wanalipa vipi hasara ambazo mashabiki waliotoka mikoani wamegharamika kuzitumia kufika jijini Dar-es-salaam kuitazama hii mechi?

Bodi ya Ligi na TFF wameonesha wazi kuwa hawana nguvu yoyote ya usimamizi wa hii ligi kuu ya NBC. Hivyo wajiuzulu ili kupisha watu wenye weledi wa kuiongoza hii ligi.

Bodi ya Ligi na TFF imeonesha wazi kuwa inapelekeshwa na hizi timu mbili kubwa nchini Tanzania yaani Simba na Yanga.

Hivi TFF na Bodi ya Ligi walishindwa nini kupeleka maafisa wao uwanja wa Taifa ili kufanikisha timu ya Simba iweze kuingia uwanjani na kufanya mazoezi hapo jana?

Lawama zote wa hili sakata tunazipeleka kwa TFF na Bodi ya Ligi...Hivi nini kimezuia hii mechi isichezwe hapo kesho ili kuwaepushia hasara zaidi mashabiki waliosafiri kutoka kila kona ya nchi na nje ya nchi?

Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi wanatakiwa wajiuzulu haraka sana
 
Naunga mkono hoja. Huu ni

Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi wanatakiwa wajiuzulu haraka s
Naunga mkono hoja hii ya Leo ni aibu. Mechi inaahirishwa Kwa sababu za ajabu ajabu.
 
Kwa hasira kali!

Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.

Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi itakuwepo na hivi mchana wametoa tena taarifa kuwa mechi haitakuwepo leo hii.

Bodi ya Ligi na TFF watuambie wanalipa vipi hasara ambazo mashabiki waliotoka mikoani wamegharamika kuzitumia kufika jijini Dar-es-salaam kuitazama hii mechi?

Bodi ya Ligi na TFF wameonesha wazi kuwa hawana nguvu yoyote ya usimamizi wa hii ligi kuu ya NBC. Hivyo wajiuzulu ili kupisha watu wenye weledi wa kuiongoza hii ligi.

Bodi ya Ligi na TFF imeonesha wazi kuwa inapelekeshwa na hizi timu mbili kubwa nchini Tanzania yaani Simba na Yanga.

Hivi TFF na Bodi ya Ligi walishindwa nini kupeleka maafisa wao uwanja wa Taifa ili kufanikisha timu ya Simba iweze kuingia uwanjani na kufanya mazoezi hapo jana?

Lawama zote wa hili sakata tunazipeleka kwa TFF na Bodi ya Ligi...Hivi nini kimezuia hii mechi isichezwe hapo kesho ili kuwaepushia hasara zaidi mashabiki waliosafiri kutoka kila kona ya nchi na nje ya nchi?

Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi wanatakiwa wajiuzulu haraka sana
Bd unaendelea kufuatilia hizo takataka? Hizo rubbish 2 ndio wameharibu ligi yetu. Nchi haiwezi kuyumbishwa na vitimu viwili. Vinadeka km sijui nini
 
Utasubiri sana kuwaondoa hao watu. Cha muhim Sasa hizi timu zitaanza kuheshimiana kwa staha na adabu. Kila mtu afanye jambo lake bila mwingine kuingilia, mwisho wa siku watu wakutane uwanjani.
 
Kwa hasira kali!

Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.

Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi itakuwepo na hivi mchana wametoa tena taarifa kuwa mechi haitakuwepo leo hii.

Bodi ya Ligi na TFF watuambie wanalipa vipi hasara ambazo mashabiki waliotoka mikoani wamegharamika kuzitumia kufika jijini Dar-es-salaam kuitazama hii mechi?

Bodi ya Ligi na TFF wameonesha wazi kuwa hawana nguvu yoyote ya usimamizi wa hii ligi kuu ya NBC. Hivyo wajiuzulu ili kupisha watu wenye weledi wa kuiongoza hii ligi.

Bodi ya Ligi na TFF imeonesha wazi kuwa inapelekeshwa na hizi timu mbili kubwa nchini Tanzania yaani Simba na Yanga.

Hivi TFF na Bodi ya Ligi walishindwa nini kupeleka maafisa wao uwanja wa Taifa ili kufanikisha timu ya Simba iweze kuingia uwanjani na kufanya mazoezi hapo jana?

Lawama zote wa hili sakata tunazipeleka kwa TFF na Bodi ya Ligi...Hivi nini kimezuia hii mechi isichezwe hapo kesho ili kuwaepushia hasara zaidi mashabiki waliosafiri kutoka kila kona ya nchi na nje ya nchi?

Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi wanatakiwa wajiuzulu haraka sana
Wamejikuta wanacheza ngoma ya simba hawa jamaa. Yaani wameingia kwenye mtego kirahisi sana.

Kwenye barua yao wanakiri kabisa simba hawakutoa taarifa za kwenda kufanya mazoezi ya mwisho pale. Sasa hapo mchezo unaukatisha kisa nini kama hawakufuata taratibu za kikanuni?
 
Ile paragraph ni ya kuihukumu Simba kuwa kuna kosa walifanya na paragraph ileile ndio wameitumia kujiwekea mazingira magumu ya kusimamia sheria. Ngoja tusubiri tuone
 
Hii game yanga apewe point 3
 
Bodi ya ligi walitakiwa wafate Kanuni zao tu basi....!
Kitendo Cha kuahirisha Mechi no kuvunja kanuni walizoziweka wenyewe....!

Haya Yanga anapeleka Team uwanjani Leo, baada ya Leo hachezi Tena Mechi nyingine na Simba, Bodi itafanyaje....!?

Bodi inatengeneza Mgogoro ambao wao hawawezi kuutatua Tena Kwa kujaribu tu kukwepa Kanuni.
 
Kwa hasira kali!

Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.

Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi itakuwepo na hivi mchana wametoa tena taarifa kuwa mechi haitakuwepo leo hii.

Bodi ya Ligi na TFF watuambie wanalipa vipi hasara ambazo mashabiki waliotoka mikoani wamegharamika kuzitumia kufika jijini Dar-es-salaam kuitazama hii mechi?

Bodi ya Ligi na TFF wameonesha wazi kuwa hawana nguvu yoyote ya usimamizi wa hii ligi kuu ya NBC. Hivyo wajiuzulu ili kupisha watu wenye weledi wa kuiongoza hii ligi.

Bodi ya Ligi na TFF imeonesha wazi kuwa inapelekeshwa na hizi timu mbili kubwa nchini Tanzania yaani Simba na Yanga.

Hivi TFF na Bodi ya Ligi walishindwa nini kupeleka maafisa wao uwanja wa Taifa ili kufanikisha timu ya Simba iweze kuingia uwanjani na kufanya mazoezi hapo jana?

Lawama zote wa hili sakata tunazipeleka kwa TFF na Bodi ya Ligi...Hivi nini kimezuia hii mechi isichezwe hapo kesho ili kuwaepushia hasara zaidi mashabiki waliosafiri kutoka kila kona ya nchi na nje ya nchi?

Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi wanatakiwa wajiuzulu haraka sana
Hivi huwa mnakaangalia vizuri kale ka CEO ka bodi ya ligi? Kanaonekana dhahiri shaqiri kwamba kamechoka ile mbaya yaani kamepigwa maisha! Sasa halo katakuwa na nguvu gani? Hapo Makolo wamecheza karata wakaona kabisa bila Che Fondo na Camara watakula mvua ya magoli! Wacha wasogeze mbele ili wachezaji wao wapone! Ukisoma ushahidi wa ofisa wa uwanja kwenye hiyo barua ya bodi ya kuahirisha mechi wanasema Simba hawakutoa taarifa kwa mtu yeyote kama kwamba wanaenda kufanya mazoezi uwanjani wala timu mwenyeji haikupewa taarifa. Sasa huo ni utaratibu wa wapi? Yaani uende tu kuvamia uwanja?
 
Kwa hasira kali!

Kwa pamoja wananchi na wapenda soka wa Tanzania wamesikitishwa na suala zima la kughairishwa kwa mechi ya watani wa jadi baina ya Yanga na Simba.

Viongozi wa bodi ya ligi na TFF wameonesha udhaifu mkubwa wa kusimamia hili sakata. Mbaya zaidi walitoa taarifa mapema kuwa mechi itakuwepo na hivi mchana wametoa tena taarifa kuwa mechi haitakuwepo leo hii.

Bodi ya Ligi na TFF watuambie wanalipa vipi hasara ambazo mashabiki waliotoka mikoani wamegharamika kuzitumia kufika jijini Dar-es-salaam kuitazama hii mechi?

Bodi ya Ligi na TFF wameonesha wazi kuwa hawana nguvu yoyote ya usimamizi wa hii ligi kuu ya NBC. Hivyo wajiuzulu ili kupisha watu wenye weledi wa kuiongoza hii ligi.

Bodi ya Ligi na TFF imeonesha wazi kuwa inapelekeshwa na hizi timu mbili kubwa nchini Tanzania yaani Simba na Yanga.

Hivi TFF na Bodi ya Ligi walishindwa nini kupeleka maafisa wao uwanja wa Taifa ili kufanikisha timu ya Simba iweze kuingia uwanjani na kufanya mazoezi hapo jana?

Lawama zote wa hili sakata tunazipeleka kwa TFF na Bodi ya Ligi...Hivi nini kimezuia hii mechi isichezwe hapo kesho ili kuwaepushia hasara zaidi mashabiki waliosafiri kutoka kila kona ya nchi na nje ya nchi?

Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi wanatakiwa wajiuzulu haraka sana
Kwani ukiwa mkoani Yanga na Simba hauzioni?

Watanzania acheni matumizi mabaya ya muda.
 
Back
Top Bottom