Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
C ndege ilikuwa imepark tuRais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.
View attachment 975883
Na ilishakaguliwaC ndege ilikuwa imepark tu
Kama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa ucharaRais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.
View attachment 975883
Ndio utanzania wetu, kuzindua pikipiki tu lazima upige misele au gari uingie kwanza u imagine kama ni kweli... Usipanik bro kuna nyingne inakuja Jan tutaingia tenaKama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa uchara
Body languageHuyo mzee na mama mbona kila mmoja anaangalia upande wake!!ndani kuna amani kweli
Hii haiko sawa hata kidogo.Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.
View attachment 975883
Balozi wa kanada huyo.Majaliwa Kasim, huyo wa pembeni yake ndio wife wake nini ?
Huyo mzee na mama mbona kila mmoja anaangalia upande wake!!ndani kuna amani kweli
Mama jesca mbn hana rahaRais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.
View attachment 975883
HahahahaNdio utanzania wetu, kuzindua pikipiki tu lazima upige misele au gari uingie kwanza u imagine kama ni kweli... Usipanik bro kuna nyingne inakuja Jan tutaingia tena