Sir Khan
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 5,730
- 11,576
wewe kinachokusumbua ni chuki za kipumbavu,viongozi kuingia ndani ya ndege waliyoinunua kuna shida gani?Kama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa uchara
Yani ninunue gari halafu mpumbavu mmoja analalamika kwanini nimeingia ndani ya gari hilo kulizindua kisa ni gari la biashara.
Ukiendelea na chuki na roho hii ya kichawi utakufa kabla ya muda wako.