Viongozi wote wakuu wa nchi kupanda ndege moja, je kiusalama ni sahihi?

Viongozi wote wakuu wa nchi kupanda ndege moja, je kiusalama ni sahihi?

Kiusalama haishauriwi sana wote kuwepo kwenye matukio kama yale ya mkusanyiko as same as kusafiri kwa kutumia usafiri mmoja.

Nilishangaa kipindi fulani mkuu aliwataka maRPC kukutana dsm halafu kwa sababu eti ya kubana matumizi wasafiri wanne ndani ya VX moja.

Kwa sababu ya ushamba na ulimbukeni tukapiga makofi na kumsifia mkuu lakini kiusalama ile ni hatari sana linapotokea janga,na ikijulikana kuwa ndio mfumo huo unatumika ni rahisi sana kuhujumiwa na kisha kuwapoteza wote kwa mpigo.

Usalama lazima uzingatiwe...

Gharama zitakazotumikwa kwa mazishi ya viongozi hao wakubwa wa serikali likitokea la kutokea,kurejea uchaguzi maana hapo mihimili yote ipo hadi wasaidizi wao ndani ya ndege.

Itakuja kutugharimu sana hasa kipindi hiki ambacho nchi yetu na raisi wetu mpendwa anawindwa na mabeberu.

Kiazi kinaweza kupandwa hukohuko canada watu wamekaa na rimoti zao,na wanajuaga tunavyokuwa na shobo...mkijaa tu wahuni wanabonya kitufe....mnaenda okota nyama.
 
Lingine kuonyesha tuko poor kwenye intelligence

Jana raisi alisema ndege inayokuja ni ngorongoro,wengine wakasema dodoma,raisi akakubali inayokuja ni ngorongoro na dodoma itafuatia.

Imetua pale nikasoma nikaona imeandikwa dodoma...nikawaza hivi kumbe hata uhakika wa ni ipi inayokuja hata wao matop pale wanababaika.

Kinaweza kusound kama kitu kidogo laini kina maana sana kiusalama.
 
Kama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa uchara
Sasa ndege hata haijapaa watu wamekaa kwenye siti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.

View attachment 975883
First class kama Economy ya fast jet???? Wapi sehemu ya kulala hao watalii wenu mnaowaleta? Mama kaangalia nje, baba kaangalia ndani hata hakuna cha kuongea. Mbona hatuoni TV je hao watu watakwenda wanaangalia anga kama mama Jesica?
 
Sasa ndege hata haijapaa watu wamekaa kwenye siti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Acha tu mdogo angu, viogozi wa Africa wanatia aibu 'first citizen' unazindua ndege kwa kukaa ndani na sarikali yake nzima peasant mentality.......
 
Ilikaguliwa sangapi,na nani
Ahaha! Mzee kumbe kuangalia hukuangalia, unawezaje kuhoji vitu sensitive hivyo wakati hauko makini katika unachofanya? Kwa msaada,tafuta ile video angalia kabla ya rais kupanda kuna maafisa waliingia kupitia mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyuma
 
Unajua kulichomtokea Habyarimana Na Ntaryamira tarehe 6th April, 1994?
Tuanzie hapo kwanza
Tunaanziaje huko wakati kinachozungumziwa kimeanzia 2018... Matukio yanatokea na hatuwezi ku avoid hilo ila tunachotakiwa ni kumpungizia adui asilimia za kufanikisha tukio lake kwa kiasi kikubwa sana kama sio asilimia zote..!
 
First class kama Economy ya fast jet???? Wapi sehemu ya kulala hao watalii wenu mnaowaleta? Mama kaangalia nje, baba kaangalia ndani hata hakuna cha kuongea. Mbona hatuoni TV je hao watu watakwenda wanaangalia anga kama mama Jesica?
Ya dreamliner je?
 
Ahaha! Mzee kumbe kuangalia hukuangalia, unawezaje kuhoji vitu sensitive hivyo wakati hauko makini katika unachofanya? Kwa msaada,tafuta ile video angalia kabla ya rais kupanda kuna maafisa waliingia kupitia mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyuma
Ukaguzi wa ndege ndio huo?
 
Ya dreamliner je?
Long trip planes lazima ziwe na viburudisho kama individual tv, ambayo imeambatanishwa na simu siyo lazima iwe dreamliner. Hii inakuwa hewani masaa saba, unafikiri watakaa masaa saba wanaangaliana? Nahisi hata vinywaji vitauzwa kwa slogan ya hapa kazi tuuu!

Tuli book ATCL tukiwa nje ya nchi kwa ajili ya trip ya return ticket ya July. Tumefika Airport saa kumi na mbili BK tukijua depurture saa tatu tunaambiwa mpaka saa tano. Tukawauliza mbona hamkututumia email na mnajua tumelipia kwenye email? Hatukupata jibu tuliambiwa ilibidi twende ku confirm kitu ambacho ni cha kalne iliyopita. Who confirm the flight nowadays when it is OK? Tulisubiri tukijua tutarudishwa lakini tulipata seat ila tubadilike. This was this year July. Je watalii wetu wangefurahia hili?
 
Back
Top Bottom