Viongozi wote wakuu wa nchi kupanda ndege moja, je kiusalama ni sahihi?

Watajijua...mimi wa nanjirinji sijui maswala yao
 
Jana nimeona wakati wa upokeaji wa ndege yetu mpya aina ya boeng 220-300.

Raisi,makamu wa raisi,waziri mkuu,spika wa bunge,jaji mkuu na wakuu wa vyombo vya usalama wote kwa pamoja waliingia ndani ya ile ndege kupata picha na kuifanyia uzinduzi.

Kiusalama ikoje iwapo ikatokea hujuma mle kukapigwa bomu,ina maana tutawapoteza hawa kwa mkupuo.

Hili huwa linazingatiwa au hapana.

Nasikia huwa siyo nzuri kiusalama hawa watu kuwepo pamoja sehemu moja.
Mkuu, hiyo ndege iliruka ? Mbona pale uwanja wa ndege nako walikuwa wamekaa wote kwa pamoja au kunapokwepo sherehe ya Kitaifa mbona wote hukusanyika eneo moja, unasemaje kuhusu hilo ?
 
Jana nimeona wakati wa upokeaji wa ndege yetu mpya aina ya boeng 220-300.

Raisi,makamu wa raisi,waziri mkuu,spika wa bunge,jaji mkuu na wakuu wa vyombo vya usalama wote kwa pamoja waliingia ndani ya ile ndege kupata picha na kuifanyia uzinduzi.

Kiusalama ikoje iwapo ikatokea hujuma mle kukapigwa bomu,ina maana tutawapoteza hawa kwa mkupuo.

Hili huwa linazingatiwa au hapana.

Nasikia huwa siyo nzuri kiusalama hawa watu kuwepo pamoja sehemu moja.
Huwa watu wa usalama wanakagua kwanza
 
DAH, ilitakiwa ipigwe bomu..... kila kitu sambaratika..... dadadeki
 
Sisi watu tunaomwamini Mungu tunaamini kuwa kifo kama Mungu amekipanga hakuna mwanadamu anaweza kukipangua and vice versa.

Hivi katika hao wote walioingia na wakuu wa ulinzi na usalama waliokuwepo pale kuna asiyeamini hilo kweli? Labda ndo maana waliacha iwe hivyo.
 
Jana nimeona wakati wa upokeaji wa ndege yetu mpya aina ya boeng 220-300.

Raisi,makamu wa raisi,waziri mkuu,spika wa bunge,jaji mkuu na wakuu wa vyombo vya usalama wote kwa pamoja waliingia ndani ya ile ndege kupata picha na kuifanyia uzinduzi.

Kiusalama ikoje iwapo ikatokea hujuma mle kukapigwa bomu,ina maana tutawapoteza hawa kwa mkupuo.

Hili huwa linazingatiwa au hapana.

Nasikia huwa siyo nzuri kiusalama hawa watu kuwepo pamoja sehemu moja.
mbona kwenye kumbi za mikutano hua pamoja au shida ndege!!
 
Kama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa uchara
Hatutaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia lazma viongozi wetu wajiridhishe.Kwani walivyopanda na kukaa tu sie kama taifa tumepata hasara gani hali yakuwa haijatumia mafuta.
 
Back
Top Bottom