Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Ipo siku mtasema hata ikulu wasikutane wote kwa pamoja... Usalama ni Taaluma mnadhani wahusika hawamuliwaza hilo? Tahadhari zote zilishachukuliwaUko sahihi Sana
Kiusalama sio sahihi kabisa
Ipo siku mtasema hata ikulu wasikutane wote kwa pamoja... Usalama ni Taaluma mnadhani wahusika hawamuliwaza hilo? Tahadhari zote zilishachukuliwa
NdioMatokeo ya match ya jana unayo kwanza??!!!
Ni vizuri kujali usalamaNilipatwa na wazo kama hilo!
Kama kimepandikizwa kiazi cha rimoti hapa waHni wanabinya button to toka canadaRais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.
View attachment 975883
Matako hulia mbwataaa mbwataaaa pwaaaaaMaskini akipata............
SawaSawa wamekusikia
Ilikaguliwa sangapi,na naniNa ilishakaguliwa
Sasa ndege hata haijapaa watu wamekaa kwenye siti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa uchara
Maskini akipata............
First class kama Economy ya fast jet???? Wapi sehemu ya kulala hao watalii wenu mnaowaleta? Mama kaangalia nje, baba kaangalia ndani hata hakuna cha kuongea. Mbona hatuoni TV je hao watu watakwenda wanaangalia anga kama mama Jesica?Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu, Wakuu wa majeshi ndani ya ndege moja. Hatari.
View attachment 975883
Acha tu mdogo angu, viogozi wa Africa wanatia aibu 'first citizen' unazindua ndege kwa kukaa ndani na sarikali yake nzima peasant mentality.......Sasa ndege hata haijapaa watu wamekaa kwenye siti[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ahaha! Mzee kumbe kuangalia hukuangalia, unawezaje kuhoji vitu sensitive hivyo wakati hauko makini katika unachofanya? Kwa msaada,tafuta ile video angalia kabla ya rais kupanda kuna maafisa waliingia kupitia mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyumaIlikaguliwa sangapi,na nani
Tunaanziaje huko wakati kinachozungumziwa kimeanzia 2018... Matukio yanatokea na hatuwezi ku avoid hilo ila tunachotakiwa ni kumpungizia adui asilimia za kufanikisha tukio lake kwa kiasi kikubwa sana kama sio asilimia zote..!Unajua kulichomtokea Habyarimana Na Ntaryamira tarehe 6th April, 1994?
Tuanzie hapo kwanza
Ya dreamliner je?First class kama Economy ya fast jet???? Wapi sehemu ya kulala hao watalii wenu mnaowaleta? Mama kaangalia nje, baba kaangalia ndani hata hakuna cha kuongea. Mbona hatuoni TV je hao watu watakwenda wanaangalia anga kama mama Jesica?
Ukaguzi wa ndege ndio huo?Ahaha! Mzee kumbe kuangalia hukuangalia, unawezaje kuhoji vitu sensitive hivyo wakati hauko makini katika unachofanya? Kwa msaada,tafuta ile video angalia kabla ya rais kupanda kuna maafisa waliingia kupitia mlango wa mbele na kutokea mlango wa nyuma
Long trip planes lazima ziwe na viburudisho kama individual tv, ambayo imeambatanishwa na simu siyo lazima iwe dreamliner. Hii inakuwa hewani masaa saba, unafikiri watakaa masaa saba wanaangaliana? Nahisi hata vinywaji vitauzwa kwa slogan ya hapa kazi tuuu!Ya dreamliner je?