Viongozi wote wakuu wa nchi kupanda ndege moja, je kiusalama ni sahihi?

Kama sio ushamba wameka wanaenda wapi? ila viongozi wa Africa ni ma peasant sana.....kuzindua ndege mpaka ingie ndani na kukaa? Unafikiri ni wakaguzi wa ndege, wakati huo ujuzi hawana, ni wana siasa uchara
wewe kinachokusumbua ni chuki za kipumbavu,viongozi kuingia ndani ya ndege waliyoinunua kuna shida gani?
Yani ninunue gari halafu mpumbavu mmoja analalamika kwanini nimeingia ndani ya gari hilo kulizindua kisa ni gari la biashara.
Ukiendelea na chuki na roho hii ya kichawi utakufa kabla ya muda wako.
 
Rais alisema inayokuja ni Dodoma wakamwambia ni ngorongoro.
Hivi ni vitu minor sana.
 
Hao wanapokutana wote sehemu mmoja ulinzi wake unakua ni mkali sana na wa hali ya juu...


Ni kama vile Marais wa nchi mbali mbali wanapokutana nchi moja kwa ajili ya mazungumzo...


Cc: mahondaw
 
Mzee nimekuuliza je dreamlinner naona unanipa historia yako na atcl, duh!
 
Mzee nimekuuliza je dreamlinner naona unanipa historia yako na atcl, duh!
 
Alafu dizain kama vile majaliwa alikua anaomba namba ya simu mtoto akawa anacheka tu
 

ulinzi wote bado unauliza tu.kama unauliza condom na mimba
 
Nachoamini hadi ndege hiyo inatua hapa nchini ilikuwa imefanyiwa ukaguzi.

Hao marubani waliokuwemo siyo wote ni marubani lahasha! Kuna wengine walienda kwa kazi maalum.

Awamu hii ya 5 ni moja kati awamu ambayo imeonesha wazi sana matumizi makubwa kwenye kila kitu dhidi ya mabawa ya tai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…