Viongozi wote wakuu wa nchi kupanda ndege moja, je kiusalama ni sahihi?

Ingekuwa Pakistan ndiyo Shida!!!! Bongo hata FFU anadhibiti kila kitu!
 
Umewaza vzr
But je huwa Unasikia kutoka wap,mkuu!!
 
Sio salama kabisa kam ulivyosema lilitokea la kutokea wanasombwa wote hapo.
Nikupe case chache moja wapo ni iliyobeba rais Juvenal Habyarimana wa Rwanda na mwenzie wa Burundi pamoja na viongozi wengine wa serikali walivyoangamia wote baada ya ndege iliyowabeba kupigwa bomu ikitokea Tanzania back 1994.
 
Halafu huu ni ushamba kweli hivi ndege ni kitu cha kupapatikiwa namna hiyo?
 
Uko sahihi
 
likitokea tatizo wakiwa ndani naamini kuna watakaoshukuru maana hawatohitaji kusubiri mpk 2020 tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…