kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Tuko tayari kumvumilia Yanga ishushwa daraja kwa kanuni kuliko kuvumilia kurudia mechi kwakutumia busara. Hali hii mwisho wake lini? Kama ikithibitika kama Yanga imewazuia simba kuingia uwanjani na Kama adhabu ya kuzuia timu kuingia uwanjani ni kushushwa daraja ni bora tushushwe. Ni heri ya ceasefire ya milele kuliko ceasefire ya siku 30 tu, Putin, 2025. Kama tutatakubali busara za waziri hali hii itajirudia tena na tena na tena.