Naunga mkono hoja, nchi hii haijawahi kuheshimu kanuni Wala katiba inajiendea endea bila mpangilio kuanzia serikali hadi taasisi zingineYanga, simba na TFF ya Karia ni matawi ya serikali ya ccm! Na hivyo wataendeleza tu huo ujinga wao wa kutumia busara kutatua huo mgogoro, badala ya kanuni. Just wait and see.
Hersi na Arafat wako karibu mno na serikali kuliko na TFF na wanachama; wataufyata kama walivyoufyata kwa Fei, watuachie timu kama wataitweza timu kwa kudharau maumivu ya shabiki na wanachama wao. Yanga ni kubwa kuliko...Yanga, simba na TFF ya Karia ni matawi ya serikali ya ccm! Na hivyo wataendeleza tu huo ujinga wao wa kutumia busara kutatua huo mgogoro, badala ya kanuni. Just wait and see.
Hakikawanataka kugombea ubunge au uteuzi
Eti mtego, sasa mtego gani mlioweka, au ndiyo wale wahuni mliowatuma kuzuia mazoezi ya Simba?Mungu kajalia wameingia kwenye mtego wetu hatutaki kuona kicheche kinanasuliwa kwenye mtego wewetu.
Kwa hiyo wewe jamaa unajiona mjinga??WanaYanga wamevumilia kwa miaka mingi tangu Karia aingie kwenye uongozi ni kama vile ameingia na visasi vya wazi. Kuna wakati Simba inakuwa na viporo 11 kwenye ligi huku timu nyingine zikiwa zimeshacheza, ratiba, uwamuzi na fine za uwanjani vyote vinaipendelea Simba.
Mungu kajalia wameingia kwenye mtego wetu hatutaki kuona kicheche kinanasuliwa kwenye mtego wetu.
Sio Yanga waliowazuia Simba kuingia uwanja wa serikali. Hata hivyo adhabu ya kuzuia Simba wasiingie sio kugomea na kuahirisha mechi; wamenaswa na mtego walahi. TFF na Bodi ya ligi walikurupuka sasa wanahanyahanya kutafuta busara kwa serikali.Eti mtego, sasa mtego gani mlioweka, au ndiyo wale wahuni mliowatuma kuzuia mazoezi ya Simba?
Acha utoto dogo, ushakuwa mtu mzima wewe.