MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Huyo chawa wa samia hajui lolote kuhusu muziki achana nae.Ondoa:
John Komba
Shilole
Chindoman
Nikki wa Pili
Andaa list yako isiyo na hayo majina.Ondoa:
John Komba
Shilole
Chindoman
Nikki wa Pili
Kweli TX Moshi lazima aingizwe kwenye hiyo list. Tumtoe nani?Mahati mbaya sana hukuwahi kuwajua, Moshi wiliamu, Ahmed maneti, Edy Shege, Shem Kalenga, Nicko Zengikala, mzee Bichuka, Zahli Zoro.
SeriousShilole??utani au uko serious mkuu
Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. Nikki wa II
Kwa hicho kizazi cha kisasa mimi ningewaondoa wote, na kuwaingiza Cosmas Chidumule, Marehemu mzee Juma mlisho, Ngolimba wa Ngolimba Shabani Dede, Max Wiliam Bushoke. Na wengine wengi.Kweli TX Moshi lazima aingizwe kwenye orodha hiyo. Tumtoe nani?
Wewe KIKONGWE usituletee Comedy humuSerious
Comedy Maigizo ya upishi huyu Kikongwe anamkubari huyo ndio maana yupo kweenye play list yakeShilole ameimbaga wimbo gani?