Mohamed Ngurumo!!Shilole amemzidi Mondi? au ni vipaji vya upishi?
Mwehu wewe,Mpka mfungo uishe tutaona mengi.Andaa list yako isiyo na hayo majina.
Huyo Kikongwe mvumilie tuMwehu wewe,Mpka mfungo uishe tutaona mengi.
Daku hizi kuzisubiria watu wanaandika utumboo
For sureSio shabiki wa Lamasimba ila kukosekana kwenye list kunaifanya iwe batili.
For sureBila kuwemo Simba, uwongo.
Ushubwada huo!Kwa hicho kizazi cha kisasa mimi ningewaondoa wote, na kuwaingiza Cosmas Chidumule, Marehemu mzee Juma mlisho, Ngolimba wa Ngolimba Shabani Dede, Max Wiliam Bushoke. Na wengine wengi.
Kitambaa cheupeBahati mbaya sana hukuwahi kuwajui, Moshi wiliamu, Ahmed maneti, Edy Shege, Shem Kalenga, Nicko Zengikala, mzee Bichuka, Zahli Zoro.
ToaUshubwada huo!
OngezaNgoja waje
Nilivoona Shilole na Chindo man nikajua huu uzi wa Mvuta Bangi tuHii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi
Yaani umemuweka Shilole halafu Dully Sykes hayupo? Hiyo List ni Void.
KIPINDI HICHO HKUKUA NA KITU KINAITWA KITAMBAA CHEUPE, BALI KULIKUA NA, CCM MWIMJUMA LANGATA HOLL, MWANANYAMALA, VIJANA SOCIAL KINONDONI, HOTOL YA UBALOZI GOROFA YA 7, 82 HOTEL SHEKILANGO, UFI SASA CLUB MAGAFIKI, DIRAFIKI KLABU YA UFI, URAFIKI, UFI SASA, URAFIKI, URAFIKI. KATA YA 14 TEMEKE, LANGO LA JIJI MAGOMENI, MANGO GADEN TANDIKA, LION HOTEL SINZA, SALENT INN MWENGE, MLIMANI PARK CHUO KIKUU, DDC KARIAKOO, DDC KEKO, POLISO UFUNDI CHANG'OMBE NA GOTEL HOTEL MOROKO, LEGMOBILANG HOTEL MOROKO, LEGMOJAN HOTEL MOROKO, LEGMOJA SHULE ZA MLIMANI ZAMANI NILIZOZISAHAU.Kitambaa cheupe
Kuna maneno huwa siaelewi maana yake kama hili sijui unamaanisha nini.Ushubwada huo!
Komba abaki hapo, hao wengine wabana pua watoke. Gen Z wengi hamumjui Capt. Komba.Ondoa:
John Komba
Shilole
Chindoman
Nikki wa Pili
Mkuu, upo sawa, sasa hao tuwape namba zipi ndani ya hizo 20 ili tuwatoe unao waona wasingekuwepo katika orodha hiyo!Bahati mbaya sana hukuwahi kuwajui, Moshi wiliamu, Ahmed maneti, Edy Shege, Shem Kalenga, Nicko Zengikala, mzee Bichuka, Zahli Zoro.
Shilole??????Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo;
1. Dr Remmy Ongala
2. Marijani Rajabu
3. John Komba
4. Baraka Mwinshehe
5. Banzastone
6. Saida Karoli
7. Papii Kocha
8. Profesa Jay
9. Shilole (Shishi baby)
10. Rose Mhando
11. Lady JayDee
12. Nikki wa II
13. Joseph Mbilinyi (Sugu)
14. Harmonize
15. Ali Kiba
16. Chindo man (Umbwax)
17. Mzee Yusuf
18. Bi Kidude
19. Khadija Kopa
20. TX Moshi
ZAHIR ZORO..Bahati mbaya sana hukuwahi kuwajui, Moshi wiliamu, Ahmed maneti, Edy Shege, Shem Kalenga, Nicko Zengikala, mzee Bichuka, Zahli Zoro.