Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

Mkuu, upo sawa, sasa hao tuwape namba zipi ndani ya hizo 20 ili tuwatoe unaona wangekuwepo katika orodha hiyo!
Kwa hawa wanamuziki wa kisasa Lady J dee, ni muimbaji mzuri sana, sema kuna mtu kama A.Y. huwezi kumuscha ukamuweka Shilole, Rey C ni muimbaji mzuri wa kizazi kipya.
 
Eti shilole, wakati unasoma hilo jina lisomee puani hana lolote kwenye usanii labda uko kwenye umama ntilie wenu
 
Sijuh umepewa chakula cha bure, huyo mama lishe sijawah kujua anaimbaga Nini!
 
Sijuh umepewa chakula cha bure, huyo mama lishe sijawah kujua anaimbaga Nini!
Shilole ndo msanii pekee wa Tanzania aliyepiga show kali sana jijini Antwerpen, Ubelgiji na kuacha wazungu midomo wazi. Ilikuwa show ya kihistoria mwaka 2015 na hadi leo anakumbukwa. Ni kama Filbert Bayi anavyokumbukwa na wamarekani kila mwaka kwa kuvunja rekodi ya staa wao iliyodumu kwa miaka 9 enzi hizo.
 
List yako kuna watu kwa maoni yangu hawastahili kuwemo na kuna watu umewaweka ni burudani tosha kwangu.. Mtu kama tx moshi na banza stone hawa viumbe, wasamehewe dhambi zao huko walipo, walijua kuukonga moyo wangu, huyu tx miaka ya mwishoni ndio alimuwa kama mvinyo, alizidi kuwa batari zaidi naimani ndio alikuwa kwenye peak yake sasa, ajali ikaleta tabu zote.

Banza nae alikuwa hapoi, ila unga na ngwengwe ikakatisha kipaji makini kama kile.
 
Ile ya kuvaa uchi na watizamaji hawafiki hata 100?
 
Uko sahihi. Banza na Papii walikuwa tishio.
 
Mimi kama Marijani Rajabu yupo inatosha kabisa wengine watajijua huko.


Ila Shilole Dah!
 
Bila Don Namilison hii list ni batili
 
21. J Nature
22. Inspekta Harun
23. Ferouz
24. Izzo Bussnez
24. Mwana FA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…