Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

Huyu jamaa janjajanja sna alishajuw kwa aina ya huu Uzi ukitaksa raia watiririke m wapumbavu wachanganye kwa kumjumisha shishi kwenye orodha
 
Huyu jamaa janjajanja sna alishajuw kwa aina ya huu Uzi ukitaksa raia watiririke m wapumbavu wachanganye kwa kumjumisha shishi kwenye orodha
Hapana. Shishi ana historia ya kufanya show kubwa sana Ubelgiji. Usimchukulie poa.
 
Sema we jamaa unamatusi sana aisee yani mpaka shilole yupo ndani ya list
 
Pamoja na kwamba ninawafahamu zaidi wanamuziki wa zamani before Bongo flavor lakini list yoyote ya wanamuziki bora iwe ya TZ au hata kama ni ya East Africa bila ya Diamond either ni chuki binafsi au umeandika tu comedy kuchekesha watu. Ukitoa Diamond, tangu tupate uhuru hatujawahi kuwa na mwanamuziki aliyewahi kuwa famous nje ya ukanda unaozungumza Kiswahili, hawa wanamuziki wote tulionao na tuliowahi kuwa nao literally they're just local artists na kidogo umaarufu wao ukivuka mipaka basi ni kwenye ukanda wa Kiswahili ila hawavuki zaidi ya hapo.
Kwa sisi tunaoishi nje ya TZ for more than two decades yaani unapokutana na Muafrika yoyote ukamueleza kuwa unatokea TZ kama ni fan wa music lazima atakuulizia habari za Diamond, toka Tanzania ipate uhuru hatujawahi kuwa na artist ambaye mpaka watu wa West Africa na Southern Africa wanakuwa wanafuatilia kazi zake mpaka maisha yake binafsi.
Locally tumekuwa na vipaji sana kuna wale waliokuwa mahiri sana katika uandishi kama Marijani Rajab, Shaban Dede, Banza Stone, Hemedi Maneti, na TX Moshi William na pia tulikuwa wale waliojaliwa vipaji exceptional vya uimbaji kama Mbaraka Winshehe Mwaruka, Mohamed Rehani Bichuka, Adam Bakari(Eddy Sheggy), Zahir Ally Zorro, Ahmed Kipande na Hussein Jumbe.
Kulikuwa na wakali wa commercial Maxmillian Bushoke, Cosmas Chidumule, Mohamed Gurumo na Ramadhan(Remmy) Ongala.
List yako imejaa takataka nyingi ambazo hata top 100,000,000 hazipaswi kuwepo.
 
Shilole anafanya nini kwenye hiyo list?

Huwa unaenda kula ukoko kwake?
 
Shilole si mwanamuziki, hana kipaji hata kidogo na hata kuimba hajuwi. Hata Ali Kiba hapaswi kuwepo hapa, ni mbana pua tu yule.
 
Kwa hiyo Diamond,Mbosso na Jay Melody hawana vipaji vya muziki eti?
 
Kweli haujui muziki!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…