Vipengele vya Katiba unavyodhani haviko sawa na mapendekezo yako

Katiba iwe na Kipengele Cha kuruhusu wagombea binafsi ili kuwapa nafasi na wale ambao hawana Imani na vyama vya siasa waweze kugombea nafasi ya Urais, Ubunge na Madiwani .
 
Wanaajiriwa kwa msimu wa uchaguzi tu kama vile wale waliochaguliwa kipindi cha kubadir katiba mpya.
 
Kipengele cha kuimarisha vyama vya upinzani kama taasisi za kijamii na si taasisi za familia kama ilivyo kwa cdm. Tuwe na vyama vya kisiasa vikuu visivo zidi vitatu na vingine viwe afilliated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…