Vipers SC Vs Horoya AC | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 18.02.2023

Vipers SC Vs Horoya AC | CAF Champions League | St. Mary's Stadium | 18.02.2023

Vipers wameanza kwa mbwembwe, ila sahivi wamepoa
 
Nimestaajabu huu uzi, ila ndiyo hivyo tena ukivurugwa, chochote unaona kinaweza kukupa faraja...
Tulieni madunduka hapo baadaye, sindano iwaingie vizuri...
Horoya hawa namba nyingine.
 
Back
Top Bottom