Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame.

Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani.

Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya kibosho na shule la lyamungo ipo jamii ya wamachame. Mimi wakati niko Umbwe sec nilisikia stori za beef hilo since 90s ila sijajua kwa 80s.

But likely ukishakuwa mtu mzima unaona ulikuwa ni ujinga tu wa ujana na utoto wa uboizini wa kutambiana kwa shule zilizopo karibu ila ugomvi wao ulienda too far hadi vurugu za 2009 ilipotokea vifo vya wanafunzi wawili mmoja wa umbwe (alipigwa na mob ya wanafunzi) na mwingine wa lyamungo (alizungushiwa senyenge shingoni).

Vp bado wanaendelea kuchapana?
 
Watoto wa sasa hivi wanamaliza wadogo mno ,sidhani kama kuna hayo tena🤔
 
Back
Top Bottom