Vipi ikatokea Spika Tulia akija na mbinu mpya? Wamekata Rufaa, nasubiria majibu ya rufaa huku muda ukisogea mara 2025 hiyoo

Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Bado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Akiwa na uono kimo cha mbilikimo atafanya hivyo.. Ila atambue kesho haina mwenyewe
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Mpiga ramli umerudi tena
 
tayari hiyo rufaa imekatwa, legacy ya ndugai na Jpm lazima ilindwe
rufaa.jpg
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Afanye afanyavyo, ujinga wake hauna uhalali kisheria, na hautakaa kuipata nguvu hiyo
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Kwanini watanzania tunapenda kufanya kama mabeberu wa Leo wanavyofanya,kuwa sheria ni wao na wao ndio sheria🤔
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Wanaume wa chadema wana wivu wa kishamba sana
 
..Spika aliwahi kufafanua suala kina Halima.

..mahakama imeamua na Spika anapaswa kutekeleza hukumu.

anaweza akafanya switching aiseee Tanzania ni Bongoland

..kwa maelezo yake Spika Tulia ameji-commit kuwa, hukumu ikitoka atatekeleza, na mahakama haiwajibiki kumtumia makala au taarifa ya hukumu.

..wasiichezee mahakama kwasababu kunaweza kujengeka utamaduni wa kutoiamini mahakama, na kudharau maamuzi yake.
 
Labda kama upo kwenye system ndio uidharau mahakama,ila kama umetumwa na akina seleman mwalimu chief husithubutu kabsaaa
 
..Ni sawa na mtu anapokosa imani na madaktari akipatwa tatizo atatafuta tiba kwa waganga wa kienyeji.

..sasa fikiria watu wakikosa imani na mfumo wetu wa utoaji haki, wakipatwa na matatizo watakwenda wapi?

..ndio maana nasema tuiheshimu mahakama kwani ni kwa faida yetu sote.
 
Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?

wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see

britanicca
Mkuu mbona kule kwenye mambo ya kimataifa umetutenga Sana?Shida nini ? Tunataka utupe muendelezo wa vita ya Urusi na Ukureine inagawa tunajua kwenye hii vita Urusi anapigwa lakini tunakuomba utuletee uchambuzi wako wa kitalaamu .Plz[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tulia, Mwendazake na Ndungai walikuwa wamoja. Hata kifo hakijawatenganisha!
 
Wanaume wa chadema wana wivu wa kishamba sana
Wewe! Hili sio jukwaa la mashoga hebu potea huko! Always ujinga tuu? Hata kama simu kakununulia shemeji basi usituchoshe na ujinga wako! $%@she#nzy kabisa!
BORA NIKU BLOCK NISISOME UJINGA WAKO
 
Back
Top Bottom