britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #41
EhhhhhBado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EhhhhhBado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
Bado sina lolote ?Huna lolote siku hizi
Mungu ibariki CDM. Aamen.[emoji818][emoji817][emoji1545][emoji1752]Nimefurahi ktk mikutano yote ya CDM Kanda ya ziwa wamepuuza issue ya COVID 19,
CDM imeonyesha ukomavu, kuhangaika na siasa za mahakamani ni kupoteza muda,
Kujenga chama ground ni move nzuri sana.
Mungu ibariki TANZANIA,
Mungu ibariki CDM. Aamen.
HBado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
Ya sina..kwa maelezo yake Spika Tulia ameji-commit kuwa, hukumu ikitoka atatekeleza, na mahakama haiwajibiki kumtumia makala au taarifa ya hukumu.
..wasiichezee mahakama kwasababu kunaweza kujengeka utamaduni wa kutoiamini mahakama, na kudharau maamuzi yake.
IpiBado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.