britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Bado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Msalimie selemani mkuu,Bado unaendelea na ramli zako? Subiri kesho morning session utapata majibu yako.
Akiwa na uono kimo cha mbilikimo atafanya hivyo.. Ila atambue kesho haina mwenyeweKwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Mpiga ramli umerudi tenaKwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
aMpiga ramli umerudi tena
Afanye afanyavyo, ujinga wake hauna uhalali kisheria, na hautakaa kuipata nguvu hiyoKwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Kwanini watanzania tunapenda kufanya kama mabeberu wa Leo wanavyofanya,kuwa sheria ni wao na wao ndio sheria🤔Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Wanaume wa chadema wana wivu wa kishamba sanaKwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
hahahaWanaume wa chadema wana wivu wa kishamba sana
anaweza akafanya switching aiseee Tanzania ni Bongoland..Spika aliwahi kufafanua suala kina Halima.
..mahakama imeamua na Spika anapaswa kutekeleza hukumu.
anaweza akafanya switching aiseee Tanzania ni Bongoland
..kwa maelezo yake Spika Tulia ameji-commit kuwa, hukumu ikitoka atatekeleza, na mahakama haiwajibiki kumtumia makala au taarifa ya hukumu.
..wasiichezee mahakama kwasababu kunaweza kujengeka utamaduni wa kutoiamini mahakama, na kudharau maamuzi yake.
Labda kama upo kwenye system ndio uidharau mahakama,ila kama umetumwa na akina seleman mwalimu chief husithubutu kabsaaa
Mkuu mbona kule kwenye mambo ya kimataifa umetutenga Sana?Shida nini ? Tunataka utupe muendelezo wa vita ya Urusi na Ukureine inagawa tunajua kwenye hii vita Urusi anapigwa lakini tunakuomba utuletee uchambuzi wako wa kitalaamu .Plz[emoji122][emoji122][emoji122]Kwa kawaida wawaza mbali hawaeleweki mpakajambo litokee, najiuliza je vipi Tulia akiendelea kuwakumbatia wabunge hawa kwa vigezo fulani fulani mtafanyaje?
wale hawajajiweka pale there is something we must wait and see
britanicca
Wewe! Hili sio jukwaa la mashoga hebu potea huko! Always ujinga tuu? Hata kama simu kakununulia shemeji basi usituchoshe na ujinga wako! $%@she#nzy kabisa!Wanaume wa chadema wana wivu wa kishamba sana
Huna lolote siku hizintaeleweka baadae hata galileo kanisa lilimtenga
a