Hapo ndipo tunahitaji mfumo wa kusawazisha rasilimali kupitia . 😄 Jimbo tajiri lisibebe kila kitu, na jimbo maskini lisiachwe life. Serikali Kuu iwe na mfuko wa kitaifa(Equalization fund) wa kusaidia majimbo yenye uwezo mdogo.Ni sera nzuri ila kuna majimbo yatakufa kwa Njaa kali sana
Kwa Nini unadhan mpaka leo Kenya ukabira umewandama?Hapo ndipo tunahitaji mfumo wa kusawazisha rasilimali kupitia . 😄 Jimbo tajiri lisibebe kila kitu, na jimbo maskini lisiachwe life. Serikali Kuu iwe na mfuko wa kitaifa(Equalization fund) wa kusaidia majimbo yenye uwezo mdogo.
Na kumbuka, jimboni kuwa na autonomy si sawa na kujitenga na taifa. Tunazungumzia kugawa mamlaka, si kugawa Tanzania.
Faida:
• Maendeleo ya haraka: Majimbo yatatumia rasilimali zao moja kwa moja (kama madini au kilimo) bila kusubiri maamuzi ya Dar es Salaam.
• Ukaribu wa viongozi: Madaraka yanawafikia wananchi kwa karibu, na maamuzi yanafanyika haraka.
Changamoto:
• Hatari ya ukabila na ukanda: Kuna uwezekano wa kupoteza umoja wa kitaifa na kuongezeka kwa ubaguzi wa kikanda.
• Pengo la kiuchumi: Majimbo yenye utajiri (kama Geita au Arusha) yatatajirika haraka, huku majimbo yasiyo na rasilimali yakibaki nyuma.
• Gharama kubwa: Uendeshaji wa serikali utakuwa ghali kwa sababu ya kuongezeka kwa magavana na mabunge ya majimbo.
Mimi bnafsi kwa Tanzania Bado kuwa na serikali ya majimbo
Hapo ndipo tunahitaji mfumo wa kusawazisha rasilimali kupitia . 😄 Jimbo tajiri lisibebe kila kitu, na jimbo maskini lisiachwe life. Serikali Kuu iwe na mfuko wa kitaifa(Equalization fund) wa kusaidia majimbo yenye uwezo mdogo.
Na kumbuka, jimboni kuwa na autonomy si sawa na kujitenga na taifa. Tunazungumzia kugawa mamlaka, si kugawa Tanzania.
Kwa Nini un
Kwa Nini unadhan mpaka leo Kenya ukabira umewandama?
5.Nafasi ya Mkuu wa mkoa ingefaa iwe ya kuchaguliwa kwa kura kuliko kuteuliwa na Rais.
Na kama Mkuu wa Mkoa atachaguliwa na wananchi, basi uwajibikaji unakuwa wa moja kwa moja, anayeshindwa kuleta matokeo anaondolewa na wananchi, sio kama sasa kusubiri utashi wa anayemteua.
Wazo lako ni baya . Unataka kuigawa Nchi vipande vipande.
Kiufupi wewe ni MTU mzima na umesoma lakini huijui history ya Nchi Yako, na hata hujui Nchi inahitaji nini kwa Sasa.
Huyo ni "muhafidhina" naelewa wasiwasi wake...hebu fafanua hoja yako.
..kwasababu hata mikoa imegawa nchi vipande vipande.
Itarudi nyuma kwa 200%.Wasalaam,
Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu?
Sisema tuige Marekani 100%. Lakini kuna principle moja ambayo nadhani inaweza kutumika.
Mamlaka zaidi, rasilimali zaidi na uwajibikaji zaidi viende karibu na wananchi.
Kwa sasa Tanzania ina Serikali Kuu pamoja na Serikali za Mitaa. Lakini fikiria kama badala ya kuwa na regions (mikoa) ambayo kwa kiasi kikubwa zinategemea maamuzi na bajeti kutoka juu, tungekuwa na majimbo yenye mamlaka makubwa zaidi ya kupanga na kuendesha maendeleo yao.
Kwa mfano, Tanzania inaweza kuwa na majimbo makubwa kama:
Northern State – Arusha, Kilimanjaro, Manyara
Lake State – Mwanza, Mara, Kagera, Geita
Central State – Dodoma, Singida, Tabora
Southern Highlands State – Mbeya, Iringa, Njombe, Songwe
Southern State – Mtwara, Lindi, Ruvuma
Coastal State – Dar es Salaam, Pwani, Tanga
Western State – Kigoma, Katavi
Zanzibar ikiendelea kuwa na arrangement yake ndani ya Muungano.
Kila jimbo lingekuwa na serikali yake, bajeti yake, mipango yake ya maendeleo na priorities zake, huku Serikali ya Muungano ikibaki na mambo ya kitaifa kama ulinzi, mambo ya nje, fedha/currency na masuala mengine ya Muungano.
Hili ni wazo tu la mjadala.
Ningependa kusikia mawazo yenu,
Tanzania ikiwa na majimbo yenye autonomy kubwa, mnadhani maendeleo yataongezeka au tutatengeneza matatizo mapya?
Nawasilisha.✍️
Wasalaam,
Mla bata
München, Deutschland 🇩🇪.