Ukizungumzia kuweka mifumo Bora moja Kwa moja lazima uizungumzie CCM ambayo tayari imekuwa compromised na kupoteza dira, Mifumo Bora inawekwa kutokana na utayari uliopo wa watu pamoja na serikali au Chama kilichopo madarakani, Chama kinachotafuta namna ya Ku survive hakina muda au Utulivu wa kuweka hiyo mifumo Bora badala Yake wanafanya mambo ya muhimu Tu ya msingi.
Mifumo Bora inaendana na utayari wa akili za watu, not necessarily ukomavu but ule uelewa mdogo wa pamoja kutoka katika kundi kubwa la watu...