Nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? And whu bandari ya Dar na sio ya Mombasa, Beira, Durban, Maputo au yoyote ile? Nchi ngapi duniani zimeendelea na wala hazina raslimali za kulinganishat ha na zile za Rwanda??mtoa mada yupo sahihi // kagame angeliweza bila tatizo lolote kuendesha nchi smoothly tatizo la uongozi na usimamizi bora // HATUA TULIOFIKIA WATANZANIA NI KUPATA KIONGOZI JASIRI (MWENYE KAUKATILI KIDOGO NDANI YAKE) WA KUWEZA KUKATA MIRIJA HII *"KONGWE"* ILIYOKUWA PLANTED NA MAFISADI NA WEZI WA TAIFA
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Kama kugekuwa na uwezekano wa kukodi rais kutoka nje kama wakati ule tulipokodi kampuni kutoka afrika ya kusini kuendesha Tanesco, mtu pekee ambaye angegombewa kuja kuongoza Tanganyika ni Kagame. Maana kuna mmoja wetu tumempa hiyo kazi yeye kasema kazi yake ni kuizunguka dunia kuhemea vibaba na amekiri hadharani kuwa hajui kwanini nchi anayoingoza ni masikiniVyombo mbalimbali vya habari viliripoti kuhusu kauli hii ya Raisi wa Rwanda Paul Kagame kuwa Kuwepo kwa Bandari ya Dar Tanzania ilipaswa kupaa kabisa kiuchumi hasa kutokana na kuzungukwa na nchi kadhaa zinazo tegemea kusafirisha mizigo yake.
Zipo nchi nyingi duniani ambazo kwa bandari pekee zimepata kupaa kiuchumi miongoni mwao ikiwamo Hongkong ,Singapore,Uholanzi nk.Lakini kwanini Tanzania Hatuoni mabadiliko ya kiuchumi yakiwa dhahiri kutokana na bandari hii?
Miradi mingi ya kiuchumi ni mikopo toka kwa wahisani.Barabara kama ya DOM-IRINGA ni mkopo toka Benki ya Africa,na miradi mingi ni mikopo toka kwa wahisani kiasi sasa kila Mtanzania mpaka mtoto mdogo anadaiwa zaidi ya Tsh 450000(laki nne na nusu).Fedha za mapato kama ya bandari hii huenda wapi?Kuna harufu ya ufisadi wa mapato ya bandari kwa kiasi kikubwa.
Napata shaka kuona kuna benk kama M Benki imbayo tawi lake limo ndani ya jengo la ofisi za mapato.Mtu analipia pale na document yake ni halali palepale na mzigo unatoka.
Hii benki niya nani?Benki zingine ukilipia document yake mpaka mpaka iende hazina ku verify ndipo uchukue mzigo.
Naona kama mafisadi wananjia zao za kuchota hela kirahisi kama kupitia benki hii,labda ndiyo maana hatuoni mabadiliko yoyote ya kiuchumi.
Gari moja ndogo inayo pita kwenda nchi nyingine hulipia sichini ya 3000000/=(milioni tatu) na gari pale zinapita kama maji tu.Pita barabara ya Dar-Tunduma uone gari zenye number ya IT utapata picha ya hoja hii pata picha ya 300.
Kweli mkuu ni bora mataifa ya nje hasa yale makubwa yakuchukie lakini ufanye vitu vikubwa nchini mwako kama walivyokuwa Sadam na Gadafi. Sisi wa kwetu anapenda kusifiwa na wakubwa, kila siku vikao na mikutano ndani na nje. Kwa Obama kwake pamekuwa kama kutoka magogoni kwenda feri lakini kila siku tunarudi nyuma huku tukiwaachia wageni kuhomola kila kitu kuanzia madini, wanyama, ardhi gesi na kila kitu kwa tiketi ya wawekezaji.as much as simpend kagame kwa sera zake za nje lakini kwa mambo ya kiuchumi he is my role model, he is a guy with a very strong character and its true mm kama mtanzania i wish ningekua na rais kama kagame minus hasira na chuki za kuua ovyo kwa kweli nchi hii tungekua mbali!!! very visionary leader na ni kweli huyu jamaa angekua na kitu kama hiki nchi hii ingekua mbali nakumbuka ktk secret code zilizovumbuliwa na wikileak obasanjo mwenyewe aliyekua mpatanishi wa vita kule congo aliwatumia ujumbe US aki wish kagame na kabila wangebadilishana nchi congo ingekua mbali sana!!!
Wewe sr ni M.S.E.N.G.E kabisa,watu wanazungumzia ufisadi unaofanywa na viongozi bandarini,unaleta habari vijana waache mikutano ya vyama vya siasa,what is connection btn corruption and political parties meetings? dou think propery,Mbuzi mkubwa wewe! unanitafutia ban bure! mtu kaleta thread ya maana we unakuja kuharisha hapa!
Kwa hiyo wewe unataka kusemaje? Naona kama unadandia treni kwa mbele!Nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? And whu bandari ya Dar na sio ya Mombasa, Beira, Durban, Maputo au yoyote ile? Nchi ngapi duniani zimeendelea na wala hazina raslimali za kulinganishat ha na zile za Rwanda??
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
kaka,, misaada inayopewa tanzania mingi kama sio yote ni mikopo,,, halafu mkuu unapozungumzia machinga wa kariakoo au muuza koni, hawa hawana input ya moja kwa moja kwa uchumi wa nchi, ila wapo kwa ajili ya kuendesha private life na familia zao ...... tunapozungumzia kufanya kazi tunazungumzia public factories, tunaongelea public construction firm kama tunazo,,, je serikali inafanya uzalishaji kiasi gani (sio kukusanya kodi). je tuna mgodi au gas/oil field ya kwetu natunazalisha kama wazawa???? mimi muuza nazi/madafu/supu ya pweza hapa natafuta hela ya kula mimi na familia yangu.. tuna wataalamu wangapi wa madini,gas, mafuta, viwanda, barabara,anga au wote ni wahasibu na wanasheria (makalani waliokuwawanatukuzwa na wakoloni) kama leo hii nchi ina wahasibu, wanasheria, procurement,politicians, linguistics, waandishi,administrator,masecretary, nk wengi kupita kiasi halafu maengineer, scientific, madokta, na wataalamu wa teknologia kwa ujumla wakuhesabu, wewe unafikili hii nchi itaendelea????
JE NANI ALAUMIWE??
... Tatizo Umekurupuka, Alisema Akiwa Rais Wa Tz Atafanya Hivo Kwa Watz
We utakua cho'ko si bure. By the way, mie nadandia treni kwa mbele... what about u? Unadandia mpini wa Kagam sio?Kwa hiyo wewe unataka kusemaje? Naona kama unadandia treni kwa mbele!
Kwanini isiwe angekuwa Rais wa Kenya, Mozambique au South Africa? Nimeuliza ina maana nchi zote zilizoendelea duniani zina bandari? Kwanini iwe Rwanda haijaendelea kwavile tu bandari ya Dar haipo Kigali?... Tatizo Umekurupuka, Alisema Akiwa Rais Wa Tz Atafanya Hivo Kwa Watz
Kweli mkuu ni bora mataifa ya nje hasa yale makubwa yakuchukie lakini ufanye vitu vikubwa nchini mwako kama walivyokuwa Sadam na Gadafi. Sisi wa kwetu anapenda kusifiwa na wakubwa, kila siku vikao na mikutano ndani na nje. Kwa Obama kwake pamekuwa kama kutoka magogoni kwenda feri lakini kila siku tunarudi nyuma huku tukiwaachia wageni kuhomola kila kitu kuanzia madini, wanyama, ardhi gesi na kila kitu kwa tiketi ya wawekezaji.
Nchi hii ina kila kitu isipokuwa uongozi tu!Kagame yupo sahihi kabisa!
Ndo mana hanenepi kwa wivu
We utakua cho'ko si bure. By the way, mie nadandia treni kwa mbele... what about u? Unadandia mpini wa Kagam sio?