msafwa93
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 4,786
- 5,963
wewe samurai unataka kutuaminisha kuwa TZ haipewagi misaada.?
unadhani mtu anaweza kupata morali ya kufanya kazi kwa bidii wakati wengine wanachota pesa bure kabsa bla kufanya kazi kwa bidii.!!
chukulia wale machinga Kariakoo nadhani hata wewe unajua kuwa wanafanya kazi kwa bidii tena juani,kwanzia asubuhi hadi jioni huku wanapiga kelele,alaf inatokea siku mgambo wanatumwa na serikali wanakuja wanawapora biashara zao kirahisi kabsa na kuwapga..
acha utani wewe..

Last edited by a moderator: