Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Vipi kauli ya Kagame kuwa Rwanda ingekuwa na bandari kama ya Dar, huduma zote Rwanda zingekuwa bure?

Hatua ya kwanza ya Tanzania kupata maendeleo ni kuiondoa kabisa CCM pamoja na agents wake katika madaraka. CCM ndiye adui namba moja wa maendeleo ya Tanzania. Bila hilo kutokea tusahau kabisa kama nchi hii itakuja kuwa na maendeleo.

Kama unadhani mapato ya bandari yata kwenda kwenye maendeleo kwa uwzo na fikra za ccm imekulakwako.Nani anaweza kujirekebisha yeye mwenyewe kwa mambo aliyo fanya mwenyewe?Nisawa na kusema akate tawi alilo likalia lakini lisianguke
 
Ndani ya nchi hii yenye viongozi wenye uchu,hata ww ukipata nafasi we kula tena hata kama una ndugu asie soma mpe nafasi ngazi ya juu ale nae!
 
Wanasiasa Ni porojo Tu,Kikwete nae husema kama Tz ingekuwa ndogo kama Rwanda,tungekuwa mbali mno kiuchumi.

Usiumize kichwa bure kwa vitu ambavyo huwezi vibadili as an individual!Hata kama Upinzani ukishika dola 2015 hakuna lolote litakalobadilika rushwa imekita mizizi mpaka level ya family.

inaonesha umekata tamaa sana mkuu...
 
Hiyo data ya kila gari dogo kulipiwa milioni 3 umeipata wapi?

It is true! Hata mimi T. Corolla yangu toka Japani imelipiwa wastani wa 3 mill. kupita bandarini hapo. Wanasema kupitia Mombasa ningeokoa karibu laki 8 kwani kule ushuru ni kama 2.2 mill. kwa gari aina hii. Inabidi tufuatilie mapato haya yote yanaishia wapi na bado ufanisi bandari yetu umeachwa nyuma kiasi kikubwa na ile ya Mombasa!?
 
kwa ka-Nchi kake kalivyo kadogo ni kweli angeweza kutoa huduma bure, lakin si kwa ukubwa wa TZ.

Hapana.
Tanzania, hata bila bandari, tunaweza kutoa huduma zote bure.
Enzi za Mwalimu huduma karibu zote zilikuwa bure, isipokuwa maji na umeme na usafiri binafsi. Tena wakati huo Tanzania ilikuwa haichimbi dhahabu, gesi wala tanzanite.
Tatizo uongozi wa nchi uliojaa mafisadi wanaotafuna kila senti inayopatikana.
Tatizo lingine ni mikataba feki iliyosainiwa kwa rushwa.
 
Kama kuna hotuba sitaisahau ni pale Dr.Slaa aliposema kuichagua na kuirudisha CCM madarani ni JANGA! Miaka karibu 4 afadhali ya jana kuliko ya leo!.Tanzania bila CCM hii inawezekana
 
Huyu ndio anatakiwa kuwa Rais wa Tanzania mwaka 2015...!!!

images
 
Kwahiyo kwanini wasipumzike tu 2015?
Changes ni vey important. ugumu unakuja ni nani apewe nchi baada ya kuwaondoa hao mafisadi?
Wanaosubiri kijiti na wao wana usafi kiasi gani? ndipo hapo inapopatikana idadi kubwa ya wasio piga kura.
Watu wamekata tamaa. waliokuwepo hawawataki, wanaowataka hawawamini.
 
Wanasiasa Ni porojo Tu,Kikwete nae husema kama Tz ingekuwa ndogo kama Rwanda,tungekuwa mbali mno kiuchumi.

Usiumize kichwa bure kwa vitu ambavyo huwezi vibadili as an individual!Hata kama Upinzani ukishika dola 2015 hakuna lolote litakalobadilika rushwa imekita mizizi mpaka level ya family.

Njia ni kupata viongozi waadilifu regardless of party affiliations. Maadili yametoweka kwa viongozi wetu ndio maana tunakwama pamoja na mali nyingi tulizonazo.
 
Huu ni ugonjwa kwa nchi nyingi za kiafrika. Kwa mfano angalia nchi km Nigeria ambayo ina mafuta kama Qatari, lakini cheki uchumi wa Nigeria ulivyoharibiwa na mafisadi! TZ hata tungekabidhiwa hiyo nchi ya Singapore bado tutaifilisi tu. Tuache ubinafsi mana kila mtu akipata uongozi anawaza wizi tu.
 
Aje na data...kama anazo...ina maana kweli uchumi wa Uholanzi ulipaa zababu ya kuwa na bandari Rotterdam??????????? Amesahahu kuwa walikuwa na gas??????????Anajua kuwa China ina bandari zaidi ya moja zenye ukubwa wa hajabu...je na wao uchumi umepaa sababu ya bandari?

Hata kama kuna mapungufu....who is he mpaka aongelee yasomuhusu....????

Akaongee na wapinzani wake kwanza (JK's voice)

Hata sie tungekuwa kama Singapore tungekuwa na watu milioni 4 nchi nzima na misaada ya kumwaga kama alokuwa anapata mpaka mingine anaonga M23 leave aside madini anayoiba DRC Congo...kijamaa kina wivu kweli ndo maana akinenepi....

And who knows anataka kututawala through EAC

Yani sasa kuna ma article online yanayomuhusu...naona CV yake imemuacha Idd Amini kwa mbali saana..killer mkubwa



Ndo mana hanenepi kwa wivu
 
Japo mimi sifanyi kazi bandarini weka rekodi zako sawa...kwani ungelipa hiyo laki 8 Kenya ungepita pale Namanga TRA wangekuwacha???mbona kila mtu ange opt kupitisha mzigo Kenya including hao Rwanda ambao more than 65% ya mizigo yao upita Tz

Kuna tofauti na kuchajiwa kama gari liko in transit na kama limefika kwao....


It is true! Hata mimi T. Corolla yangu toka Japani imelipiwa wastani wa 3 mill. kupita bandarini hapo. Wanasema kupitia Mombasa ningeokoa karibu laki 8 kwani kule ushuru ni kama 2.2 mill. kwa gari aina hii. Inabidi tufuatilie mapato haya yote yanaishia wapi na bado ufanisi bandari yetu umeachwa nyuma kiasi kikubwa na ile ya Mombasa!?
 
Hata ki uchumi tuna chance ya kupaa ndio maana Kagame, Uhuru an Mseven hawapati usingizi wanawaza jinsi ya kutuangamiza....

Rushwa tunaendelea kupambana nayo hivyo hivyo...hata Italy inanuka rushwa lakini ni matajiri....tutafika tu hacha hawa wanaomsifia killer wasomjua....

Embu mwende mka Google Kagame Killer muone ma news....

Mimi nilikuwa namuona Kagame Hero kama miezi 4 ilopita...lakini baada ya kusoma who he real is...namuona bonge la Zero

Alianza kuwa muuaji toka akiwa kijana mdogo...msameheni tu huyu jamaa


Kagame anaubinafsi walichukia Tanzania kupaa kidiplomasiaa 2013
 
Nna bosi wangu anakaa huko kagera likizo yake anapanda ndege hadi bujimbura kisha anarudi kwa basi hadi Tz ukiuliza kwa nn anakwambia TZ tuna barabara mbovu ajabu


Kutoka Kabanga ulipo mpaka wa Tanazania na Burundi mpaka Dar es Salaam ni lami, sasa sijui huo ubovu anaoungelea ni upi.
 
Yah ni kweli kabisa kagsme yuko sawa maana pesa nyingi hapa bongo wamiliki ni mafisadi.ila mwisho wao ni 2015.peoples powerrrr
 
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.

Kwani maandamano yalianza lini mkuu...?Kweli CCM ni zaidi ya kansa.
 
Back
Top Bottom