Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Nna bosi wangu anakaa huko kagera likizo yake anapanda ndege hadi bujimbura kisha anarudi kwa basi hadi Tz ukiuliza kwa nn anakwambia TZ tuna barabara mbovu ajabu
Nna bosi wangu anakaa huko kagera likizo yake anapanda ndege hadi bujimbura kisha anarudi kwa basi hadi Tz ukiuliza kwa nn anakwambia TZ tuna barabara mbovu ajabu
kweli wewe siyo great thinker ni little thinker haujui nchi yako inavitu gani inavyovivunia ambapo nchi nyingne wanatamani wawe navyo lakini hawana na wametuzidi kiuchumi mfano hiyo hiyo rwanda na ghana nk
wewe samurai unataka kutuaminisha kuwa TZ haipewagi misaada.?
unadhani mtu anaweza kupata morali ya kufanya kazi kwa bidii wakati wengine wanachota pesa bure kabsa bla kufanya kazi kwa bidii.!!
chukulia wale machinga Kariakoo nadhani hata wewe unajua kuwa wanafanya kazi kwa bidii tena juani,kwanzia asubuhi hadi jioni huku wanapiga kelele,alaf inatokea siku mgambo wanatumwa na serikali wanakuja wanawapora biashara zao kirahisi kabsa na kuwapga..
acha utani wewe..
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Point yako haina mashiko,au kwa kifupi ni pumbavipi popo atakua angani lini tena.?
kaka,, misaada inayopewa tanzania mingi kama sio yote ni mikopo,,, halafu mkuu unapozungumzia machinga wa kariakoo au muuza koni, hawa hawana input ya moja kwa moja kwa uchumi wa nchi, ila wapo kwa ajili ya kuendesha private life na familia zao ...... tunapozungumzia kufanya kazi tunazungumzia public factories, tunaongelea public construction firm kama tunazo,,, je serikali inafanya uzalishaji kiasi gani (sio kukusanya kodi). je tuna mgodi au gas/oil field ya kwetu natunazalisha kama wazawa???? mimi muuza nazi/madafu/supu ya pweza hapa natafuta hela ya kula mimi na familia yangu.. tuna wataalamu wangapi wa madini,gas, mafuta, viwanda, barabara,anga au wote ni wahasibu na wanasheria (makalani waliokuwawanatukuzwa na wakoloni) kama leo hii nchi ina wahasibu, wanasheria, procurement,politicians, linguistics, waandishi,administrator,masecretary, nk wengi kupita kiasi halafu maengineer, scientific, madokta, na wataalamu wa teknologia kwa ujumla wakuhesabu, wewe unafikili hii nchi itaendelea????
JE NANI ALAUMIWE??
Huyo Magdalena na dhani ni shabiki tu wa mfumo uliopo.Hana uwezo wa kutoa mchango wa nini kifaanyike kupunguza kama si kuondoa matatizo yetu.Miongoni mwa matatizo tulionayo ni CCM.Kikwazo kikubwa cha maendeleo yetu ni wao.Wamelewa madaraka labda wamekaa mudamrefu mno.Hawaamini kama iko siku watatoka ndiyo maana wamelewa hivyoNi matusi mazito sana kuwambia vijana wa tanzania hawafny kazi na huk ukiondoa rushwa na ufisad unaofnyw na wa2 wachache!
kwahiyo we huwa unawaona vijana kila ck wanaandamana?na kazi zipi wafanye? nenda iringa wakulima wamelima mahindi mpaka leo yamerundikana na yanaoza heti serikali haina pesa,then tembea nchi hii uone watu wanavyo fanya kazi,acha mawazo hovyo,mbona marekani na ulaya wanaandamana kila siku na maendeleo yapo.Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
Sio nchi ya majaribio hii. Hayo majaribio endeleeni kufanya huko kwenye ndoa zenu.