Nchi hii ina kila kitu isipokuwa uongozi tu!Kagame yupo sahihi kabisa!
Kama unadhani mapato ya bandari yata kwenda kwenye maendeleo kwa uwzo na fikra za ccm imekulakwako.Nani anaweza kujirekebisha yeye mwenyewe kwa mambo aliyo fanya mwenyewe?Nisawa na kusema akate tawi alilo likalia lakini lisianguke
Wanasiasa Ni porojo Tu,Kikwete nae husema kama Tz ingekuwa ndogo kama Rwanda,tungekuwa mbali mno kiuchumi.
Usiumize kichwa bure kwa vitu ambavyo huwezi vibadili as an individual!Hata kama Upinzani ukishika dola 2015 hakuna lolote litakalobadilika rushwa imekita mizizi mpaka level ya family.
Hiyo data ya kila gari dogo kulipiwa milioni 3 umeipata wapi?
kwa ka-Nchi kake kalivyo kadogo ni kweli angeweza kutoa huduma bure, lakin si kwa ukubwa wa TZ.
Changes ni vey important. ugumu unakuja ni nani apewe nchi baada ya kuwaondoa hao mafisadi?Kwahiyo kwanini wasipumzike tu 2015?
Wanasiasa Ni porojo Tu,Kikwete nae husema kama Tz ingekuwa ndogo kama Rwanda,tungekuwa mbali mno kiuchumi.
Usiumize kichwa bure kwa vitu ambavyo huwezi vibadili as an individual!Hata kama Upinzani ukishika dola 2015 hakuna lolote litakalobadilika rushwa imekita mizizi mpaka level ya family.
Ndo mana hanenepi kwa wivu
It is true! Hata mimi T. Corolla yangu toka Japani imelipiwa wastani wa 3 mill. kupita bandarini hapo. Wanasema kupitia Mombasa ningeokoa karibu laki 8 kwani kule ushuru ni kama 2.2 mill. kwa gari aina hii. Inabidi tufuatilie mapato haya yote yanaishia wapi na bado ufanisi bandari yetu umeachwa nyuma kiasi kikubwa na ile ya Mombasa!?
Kagame anaubinafsi walichukia Tanzania kupaa kidiplomasiaa 2013
Nna bosi wangu anakaa huko kagera likizo yake anapanda ndege hadi bujimbura kisha anarudi kwa basi hadi Tz ukiuliza kwa nn anakwambia TZ tuna barabara mbovu ajabu
Vijana wakiacha maandamano na kuhudhuria mikutano ya vyama vya siasa na badala yake wakajikita katika kufanya kazi nchi hii itafika mbali.
we andamana nikutoe ngeu