Watu wa Lumumba naona leo mmewai mbayaAnaitamani tanzania mpeni pole ndiyo basi tena tanzania haiwezi kuongozwa na muuwaji kagame.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa Lumumba naona leo mmewai mbayaAnaitamani tanzania mpeni pole ndiyo basi tena tanzania haiwezi kuongozwa na muuwaji kagame.
Kwa population isiyopishana sana na Dar es salaam ni kweli kabisa Bandari pekee inatosha kuipa Rwanda huduma za jamii bure
Wewe mnyarwanda utaendelea kumpigia debe Kagame mpaka uingie kaburini.
Hii ji kweli sisi naoba hatupo serious kabisa fikiria lorry lenye containers linachukua cku nzima kufika kibaha kutoka bandarini na Hakuna jitihada na makusudi je tupo serious?
Tatizo umepakatwa na mafisadi uwezi ona adha wanayopata wananchi vijijini ,Mungu katujalia kila kitu madini ya kila aina ,bandari , mbuga, misitu , gesi lakini mpaka leo ukienda mahosipitalini hakuna madawa shule hakuna madawati na hakuna vifaa vya kufundishia, Mungu katunyima viongozi ,tuna viongozi wanaowaza kunufaisha familia zao tu na jamaa zao na sio wananchi. Unge baatika kufika Rwanda ungeona wenzetu walivyo endelea kwenye sekta ya afyaUnamtetea mzee wako pole sana nenda kwake uwe unafulia nguo basi.
Nadhani nchi ingekuwa makini tungekuimbia parapanda italiaUnamtetea mzee wako pole sana nenda kwake uwe unafulia nguo basi.
Wakimbizi wanyarwanda mnakazi akili zenu zimeathirika na ubaguzi nyie siyo watu tena utu wenu ulishaisha.
Umeusahau ujinga wa zee lako la pori?Ujinga wa kagame na ndugu yake Mahoro,wanajua Mkoa wa Mbeya una watu wangapi?
Mkuu Mahoro,... Wakuu, Huwa Natafakari Sana Hii Kauli Ya Kiongozi Makini Hapa Afrika, Ndugu Kagame. Aliwahi Kumwambia Mkuu Wetu Wa Kaya Kuwa Ukiacha Rasrimali Zote Ulizonazo Kama Madini, Maji Na Ardhi, Bandari Tu Ya Dar Es Saalam, Kama Rais Wa Tz Naweza Kuitumia Kwa Ajili Ya Kuwapa Huduma Bure Za Kijamii Wananchi Wangu Wote Bila Wasiwasi.. Cha Ajabu Tuna Rasrimali Nyingi Lakin Kila Kitu Cha Shida, Je Hii Ni Laana Au?? Huwa Nataman Sana Siku Moja Hata Kwa Mwaka Mmoja Kagame Awe Rais Wetu Lakn Ndo Hivyo Haiwezekan. Hata Hapa Kwetu Wapo Viongoz Wazur Kama Kagame Lakin Huwa Hawapati Nafasi.. Natafakari Sana Hiyo Kauli Nzito, Machozi Yananitoka. Yaani Bandari Tu?? Je Madini? Je, Ardhi Yetu Nzuri? Je, Gesi Yetu? Maji Yetu??
Bila kujali madhara wala maumivi ni upuuzi kumsifia baba wa mwenzako uku wako akiwa hapohapo, na kufika hatua ya kuomba aje ahudumie familia yenu, what the hell are you posting,,,,,,,!!!!!!
... Wakuu,
Huwa Natafakari Sana Hii Kauli Ya Kiongozi Makini Hapa Afrika, Ndugu Kagame. Aliwahi Kumwambia Mkuu Wetu Wa Kaya Kuwa Ukiacha Rasirimali Zote Ulizonazo Kama Madini, Maji Na Ardhi, Bandari Tu Ya Dar Es Saalam, Kama Rais Wa Tz Naweza Kuitumia Kwa Ajili Ya Kuwapa Huduma Bure Za Kijamii Wananchi Wangu Wote Bila Wasiwasi.. Cha Ajabu Tuna Rasrimali Nyingi Lakin Kila Kitu Cha Shida, Je Hii Ni Laana Au??
Huwa Natamani Sana Siku Moja Hata Kwa Mwaka Mmoja Kagame Awe Rais Wetu Lakn Ndo Hivyo Haiwezekan. Hata Hapa Kwetu Wapo Viongoz Wazur Kama Kagame Lakin Huwa Hawapati Nafasi.
Natafakari Sana Hiyo Kauli Nzito, Machozi Yananitoka. Yaani Bandari Tu?? Je Madini? Je, Ardhi Yetu Nzuri? Je, Gesi Yetu? Maji Yetu??