haszu
JF-Expert Member
- Oct 10, 2017
- 978
- 2,313
Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.
Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.
Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.
Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa