Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Ndoa zinafungwa kila jumamosi.

Kumbi za sherehe zipo booked zimejaa

Wadada wanaolewa sana. Wanaokosa wa kuwaoa ni wale ambao wanataka waolewe na watu wasiofanana nao.

Siku hizi familia mambo safi zinaoa familia mambo safi wenzao.

Siku hizi mkaguzi wa hesabu mwenye CPA na kipato kizuri anaoa daktari ( mc katokisha ni mfano hai )

Hivyo hao wadada wanaokosa waoaji ni sababu wanataka watu wasiofanana nao
 
Ati napotosha? Nyie ndo mnawekeza pesa kwa wanawake afu mkishapigwa matukio mnaanza kulia lia.
Unadhani pesa pekee zinaweza kumfanya mwanamke aendelee kuwa nawe? Kwa taarifa yako pesa sio msingi wa mahusiano,pesa Ni ya ziada tu
Kuna pesa na mapesa, hivi haya maisha ya kwenye majiji Huna hata income ya 600k kwa mwezi unaweza ukaishi na Mwanamke. Yaani huna hata kipato cha 20k daily ambacho ni cha uhakika unaweza ukaishi na mwanamke kwenye jiji?
 
Mbona Kuna watu wengi tu kipato Chao Ni chini ya hiyo 600K kwa mwezi na wameoa na kujaliwa watoto afu wanazimudu familia zao vizuri tu.

Kikubwa Ni kitatufuta mwenza wa viwango vyako then you live within your means.
 
Wanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoa, wanaume hasa vijana wengi hawana ajira wana maisha ya unga unga mwana, hao walio na hela hawataki kuoa bali kuchovya chovya, maisha yamekuwa mfurugo kabisa, kijana anaoa leo baada ya miezi sita unasikia talaka yaani full tafrani
Mbususu zimepanda bei ajira zinapungua lazima wanawake wapate shida
 
@
Ndoa zinafungwa kila jumamosi.

Kumbi za sherehe zipo booked zimejaa

Wadada wanaolewa sana. Wanaokosa wa kuwaoa ni wale ambao wanataka waolewe na watu wasiofanana nao.

Siku hizi familia mambo safi zinaoa familia mambo safi wenzao.

Siku hizi mkaguzi wa hesabu mwenye CPA na kipato kizuri anaoa daktari ( mc katokisha ni mfano hai )

Hivyo hao wadada wanaokosa waoaji ni sababu wanataka watu wasiofanana nao
Hope urassa msikilize huyu nabii 😂
 
Back
Top Bottom