Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Kuna kutulia na kuna kuwa na kiburi. Ukijichanganya utadhani mtu katulia kumbe lina kiburi promax iliyochanganyikana na dharau. Waliotulia hupata watu fasta sana tena kwenye miaka 19 hadi 22. Ila hii midada iliyonyamaza kuficha kiburi hupita 30years bilabila. Mwanaume kamili hawezi vumilia dharau... hata baadhi ya simps kuna muda hushtuka na kukataa dharau.
 
Mwanaume Ni kujiamini,pesa Ni added advantage tu.
Confidence ya mwanaume 50% ni uchumi hyo 50% nyingine ndo inabeba mengine.....Muda mwngn mapenzi ni uwekezaji unawekeza muda, hela, hisia na mengine sasa kama mimi mapema nishagundua hapa Kwa thamani yake naweza nsifike mahali ya nn nikaze fuvu boss
 
Acha kupotosha aisee 😂 😂 😂
Bila hela hizo nguvu za kiume zinatoka wapi?
Ati napotosha? Nyie ndo mnawekeza pesa kwa wanawake afu mkishapigwa matukio mnaanza kulia lia.
Unadhani pesa pekee zinaweza kumfanya mwanamke aendelee kuwa nawe? Kwa taarifa yako pesa sio msingi wa mahusiano,pesa Ni ya ziada tu
 
Back
Top Bottom