Unaweza kufafanua kidogo rafiki?Njia walizokatiza before pengine?
Sio kukosa uchangamfu ila wengi huwa hawajichanganyi kwenye sehemu za starehe au mikusanyiko mingi. Hivyo, nafasi zao za kukutana na wanaume wa kuwaoa ni ndogoHao wanawake waliotulia Mara nyingi wanakuwaga introverts.Yaani wapo Kama hawapo hivi.
Sasa mwanaume gani atatamani kuishi na mwanamke asiye mchangamfu,yaani kapoa sijui Kama Nini.
Ni kweli lakini si kila mwanamke 30+ ambaye hajaolewa ni kwa sababu hajatulia au hana qualities za kuwa wife material. Wengine ni kama alivyosema mtoa madaHamna dada wa hivo akose mwanaume,kwa taarifa yako wanaume huwa wanapashana taarifa kutokea mbali,hata watu tu watatembeza taarifa kwa fulani kuna mtoto.
Kama ametulia na anakosa mme huyo bado humjui maisha yake ya tangiapo
Yaani Kuna watu humu hamfai😂😂😂Unakuta mdada mzuri hakazii kbs ukiangalia muonekano kuanzia uso kifua tumbo paja mpaka tacall yupo vzr kitabia sio haba mpaka unajiuliza huyu kakosa nn mpaka anakuja kwangu?
Una hoja usikilizweHamna dada wa hivo akose mwanaume,kwa taarifa yako wanaume huwa wanapashana taarifa kutokea mbali,hata watu tu watatembeza taarifa kwa fulani kuna mtoto.
Kama ametulia na anakosa mme huyo bado humjui maisha yake ya tangiapo
Kwann mkuuYaani Kuna watu humu hamfai😂😂😂
Mwanamke ishi naye ndio utakujua katulia ama vipi?Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.
Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.
Kuna mmoja nilidhani nimekuonea huruma sana mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.
Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
Kuna mmoja ana sifa zote za kuitwa wife material achilia mbali uzuri aliobarikiwa nao mpaka jamii inayomzunguka inakili hilo lakini sasa, shetani akiamua kukujambia ni Mungu tu mwenye uwezo wa kufukuza huo ushuzi....Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.
Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.
Kuna mmoja nilidhani nimekuonea huruma sana mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.
Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
Usawa huu inawezekana kutokuwa na mtu ndiyo bahati yenyewe.Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.
Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.
Kuna mmoja nilidhani nimekuonea huruma sana mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.
Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
Mimi hapa nataka nipate wa hvyo..Hao wanawake waliotulia Mara nyingi wanakuwaga introverts.Yaani wapo Kama hawapo hivi.
Sasa mwanaume gani atatamani kuishi na mwanamke asiye mchangamfu,yaani kapoa sijui Kama Nini.
Yaani mdada wa watu anakuonea hiruma unabaki kumshangaa. Ukute hapo umempa Hadi za uongo kibaoKwann mkuu