Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mi sijampa ahadi yeyote, sema tu nikimwangalia Vs nikijitathmini Naona kbs huyu ananionea huruma tuYaani mdada wa watu anakuonea hiruma unabaki kumshangaa. Ukute hapo umempa Hadi za uongo kibao
Sheikh ubwabwa, una uwezo wa kuwahudumia au unaongea tuWanawake ni wengi kuliko wanaume, hivyo ni kawaida wanawake wengine kukosa waume, ni vyema tuoe wake zaidi ya mmoja ili kuwasitiri wanawake ambao hawana waume
Hivi unaanzaje kupenda mwanamke muongeaji au mchakaramu chakaramu?Hao wanawake waliotulia Mara nyingi wanakuwaga introverts.Yaani wapo Kama hawapo hivi.
Sasa mwanaume gani atatamani kuishi na mwanamke asiye mchangamfu,yaani kapoa sijui Kama Nini.
Unajiuliza hivyo kwanini wewe huna vigezo vya kuwa nayeπUnakuta mdada mzuri hakazii kbs ukiangalia muonekano kuanzia uso kifua tumbo paja mpaka tacall yupo vzr kitabia sio haba mpaka unajiuliza huyu kakosa nn mpaka anakuja kwangu?
Mkuu kwangu mchawi pesa, kwa kipato changu sina uwezo wa kumiliki mashine kama ileUnajiuliza hivyo kwanini wewe huna vigezo vya kuwa nayeπ
Mwanaume Ni kujiamini,pesa Ni added advantage tu.Mkuu kwangu mchawi pesa, kwa kipato changu sina uwezo wa kumiliki mashine kama ile
Kula raha tu. Kana hujaoa si ubebe tu.Mi sijampa ahadi yeyote, sema tu nikimwangalia Vs nikijitathmini Naona kbs huyu ananionea huruma tu
Confidence ya mwanaume 50% ni uchumi hyo 50% nyingine ndo inabeba mengine.....Muda mwngn mapenzi ni uwekezaji unawekeza muda, hela, hisia na mengine sasa kama mimi mapema nishagundua hapa Kwa thamani yake naweza nsifike mahali ya nn nikaze fuvu bossMwanaume Ni kujiamini,pesa Ni added advantage tu.
Acha kupotosha aisee π π πMwanaume Ni kujiamini,pesa Ni added advantage tu.
Kuoa Sina mpango nipo nabembea kimkakati, naaangalia namna bora ya kupunguza genye nimeaandaa suluhisho la muda mfupi, muda wa kati na muda mrefuKula raha tu. Kana hujaoa si ubebe tu.
Kumbe bas ngoja nianze kutoka na kuanza kujichanganyaSio kukosa uchangamfu ila wengi huwa hawajichanganyi kwenye sehemu za starehe au mikusanyiko mingi. Hivyo, nafasi zao za kukutana na wanaume wa kuwaoa ni ndogo
Tofauti na micharuko ambao wapo kila sehemu
Ati napotosha? Nyie ndo mnawekeza pesa kwa wanawake afu mkishapigwa matukio mnaanza kulia lia.Acha kupotosha aisee π π π
Bila hela hizo nguvu za kiume zinatoka wapi?
Oa tuKuoa Sina mpango nipo nabembea kimkakati, naaangalia namna bora ya kupunguza genye nimeaandaa suluhisho la muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu
Tafuta mwanamke wa viwango vyako broConfidence ya mwanaume 50% ni uchumi hyo 50% nyingine ndo inabeba mengine.....Muda mwngn mapenzi ni uwekezaji unawekeza muda, hela, hisia na mengine sasa kama mimi mapema nishagundua hapa Kwa thamani yake naweza nsifike mahali ya nn nikaze fuvu boss
Sasa hapo ww ndo umeelewa nlichokuwa namaanishaTafuta mwanamke wa viwango vyako bro