Bado npo nipo sanaOa tu
😂 usiwe muoga
Kuna pesa na mapesa, hivi haya maisha ya kwenye majiji Huna hata income ya 600k kwa mwezi unaweza ukaishi na Mwanamke. Yaani huna hata kipato cha 20k daily ambacho ni cha uhakika unaweza ukaishi na mwanamke kwenye jiji?Ati napotosha? Nyie ndo mnawekeza pesa kwa wanawake afu mkishapigwa matukio mnaanza kulia lia.
Unadhani pesa pekee zinaweza kumfanya mwanamke aendelee kuwa nawe? Kwa taarifa yako pesa sio msingi wa mahusiano,pesa Ni ya ziada tu
Wewe kula tu Bata lakini make sure unaoa kabla ya 28 yearsBado npo nipo sana
Mbona Kuna watu wengi tu kipato Chao Ni chini ya hiyo 600K kwa mwezi na wameoa na kujaliwa watoto afu wanazimudu familia zao vizuri tu.Kuna pesa na mapesa, hivi haya maisha ya kwenye majiji Huna hata income ya 600k kwa mwezi unaweza ukaishi na Mwanamke. Yaani huna hata kipato cha 20k daily ambacho ni cha uhakika unaweza ukaishi na mwanamke kwenye jiji?
Mm nsipogusa ghorofa ya tatu sihangaikii na ndoaWewe kula tu Bata lakini make sure unaoa kabla ya 28 years
Umebakisha mingapi kufikia ghorofa ya tatu?Mm nsipogusa ghorofa ya tatu sihangaikii na ndoa
Badoo sanaUmebakisha mingapi kufikia ghorofa ya tatu?
Kabisa ni kupata mtu mnae endana nae.Mbona Kuna watu wengi tu kipato Chao Ni chini ya hiyo 600K kwa mwezi na wameoa na kujaliwa watoto afu wanazimudu familia zao vizuri tu.
Kikubwa Ni kitatufuta mwenza wa viwango vyako then you live within your means.
Mbususu zimepanda bei ajira zinapungua lazima wanawake wapate shidaWanaume wenyewe ndo hawa kataa ndoa, wanaume hasa vijana wengi hawana ajira wana maisha ya unga unga mwana, hao walio na hela hawataki kuoa bali kuchovya chovya, maisha yamekuwa mfurugo kabisa, kijana anaoa leo baada ya miezi sita unasikia talaka yaani full tafrani
Wapo wapi hao wanawake jamani na mie nahitaji kuoaMbona Kuna watu wengi tu kipato Chao Ni chini ya hiyo 600K kwa mwezi na wameoa na kujaliwa watoto afu wanazimudu familia zao vizuri tu.
Kikubwa Ni kitatufuta mwenza wa viwango vyako then you live within your means.
NakaziaHamna dada wa hivo akose mwanaume,kwa taarifa yako wanaume huwa wanapashana taarifa kutokea mbali,hata watu tu watatembeza taarifa kwa fulani kuna mtoto.
Kama ametulia na anakosa mme huyo bado humjui maisha yake ya tangiapo
Ongeza asilimia za uchumi hadi 80Confidence ya mwanaume 50% ni uchumi hyo 50% nyingine ndo inabeba mengine.....Muda mwngn mapenzi ni uwekezaji unawekeza muda, hela, hisia na mengine sasa kama mimi mapema nishagundua hapa Kwa thamani yake naweza nsifike mahali ya nn nikaze fuvu boss
Hivi katika hali kama hii inakuaje? Mana wanakua wanatia huruma sana, unaona kabisa angefaa uwe nae ila haiwezekani.Unakutana na kamdada ka namna hiyo maskini kanaingia mazima kudhani kanapendwa kumbe ni upwiru tuu umekusogeza kwake
Utafungwa wewe, huyo si form 3 na ni katoto?Ukitaka ufaidi ndoa kwa sasa oa andasiksitini(16)
Hope urassa msikilize huyu nabii 😂Ndoa zinafungwa kila jumamosi.
Kumbi za sherehe zipo booked zimejaa
Wadada wanaolewa sana. Wanaokosa wa kuwaoa ni wale ambao wanataka waolewe na watu wasiofanana nao.
Siku hizi familia mambo safi zinaoa familia mambo safi wenzao.
Siku hizi mkaguzi wa hesabu mwenye CPA na kipato kizuri anaoa daktari ( mc katokisha ni mfano hai )
Hivyo hao wadada wanaokosa waoaji ni sababu wanataka watu wasiofanana nao