Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Unaweza dhani hawaolewi kumbe nao wanamachaguo yao.Hata hivyo Malaya ndo wanaolewa sikuhizi....wajifunze kujichanganya...kujifungia ndani wataishia kuonwa na kaka zao tu.
Daa umenikumbusha mtoto mmoja anayajua haya mambo yule mtu🙌🙌 sema ukorofi wake tu ila ningeweka ndani.

Malaya wakikukamata ndugu watahisi umefanyiwa dawa
 
Kabisa mkuu mi nina ndugu yangu wa kike ana 31 ila siwezi mshauri mtu amuoe yaani in short haifai aseee watu wanakojolewa na kupigwa 3some kwanzia chuo na bangi juu mkuu acha kabisa sio poa.

Kwa saivi mwanamke above 21 ambaye hajachumbiwa ni bomu kubwa sana hilo.

Cc Mwanaumke wa mithali
Hatari sana, umeona mkuu

Shida iko kwao wenyewe umalaya
 
Kutulia umejuaje na kwa kigezo gani? Mwanadamu ana mambo yake ya Siri lakini dunia ni tambara bovu hakuna Siri
 
Ni kweli lakini si kila mwanamke 30+ ambaye hajaolewa ni kwa sababu hajatulia au hana qualities za kuwa wife material. Wengine ni kama alivyosema mtoa mada

Ukiachana na wale wenye akili nyingi, independent na wana misimamo ya kiboko haram
Unakuta mdada umetulia ndio,unajifanya serious sana,huchangamani na wenzio,kanisani huendi,umejifungia ndani sasa wanaume utawapataje au unakuta unavigezo vingi sana ni ngumu kumpata mwanaume.Labda ni bahati wakati mwingine
Lakini pia unaweza ukawa unapata wanaume ila unawakimbiza mwenyewe sababu zipo nyingi sitasema.Hivi mtu inafikia hatua anasema nataka anayepumua tu unaniambia hiyo mtu alikuwa hapati wanaume?
 
Kuna mmoja ana sifa zote za kuitwa wife material achilia mbali uzuri aliobarikiwa nao mpaka jamii inayomzunguka inakili hilo lakini sasa, shetani akiamua kukujambia ni Mungu tu mwenye uwezo wa kufukuza huo ushuzi....
Kuna aina ya wanawake ukiwa nae, kwa jinsi mwili wake ulivo (hana joto sahihi) au ni oversize. Labda anashida ya harufu. Mwanamke wa hivi anapunguza nguvu za kiume.
 
Back
Top Bottom