Vipi kwa wanawake waliotulia lakini hawapati wachumba wa kuwaoa, wenye uhaba wa kupendwa

Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.

Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.

Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.

Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
angalia na umri uliomkuta akiwa ametulia.

akiwa under 24 ni sawa.

ila over 30 am sorry

akiwa ni mwana CHUO am sorry.

kama ni form 4 angalau

Kama umekutana nae ukubwani am sorry...

ila kama umemjua toka utotoni ni sawa
 
Kuna wadada wazuri tu wametulia lakini hawana bahati ya kupata wachumba, in short wana uhaba wa kupendwa.

Inafika wakati wanakiona wana gundu na kujichanganya kwa liwalo na liwe.

Kuna mmoja nimemuonea huruma sana, mana ametulia af kakutana na mimi nimeshaoa. Sitaki akolee mana sina malengo nae yoyote.

Ni hivyo tu kuna wadada wawaona warembo unawaogopa kumbe wana uhaba wa kupendwa
Npe namba yke
 
Back
Top Bottom