Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?