Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Natafuta mpenzi, awe mrefu mweusi.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaaaah nilijua utasema asiyejua kupika ahahaha😂😂😂😂Mimi mwanaume asiejua kudekeza na kubembeleza naonaga kabisa nitakufa siku sio zangu
Yani kuwa strong women ndo sijawezaga 😀😀
Nikiombwa savana na 'tuma na ya kutolea'Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Weee. Jamaa si mpare piaDemu akiwa mpare
DaaahNatafuta mpenzi, awe mrefu mweusi.....
😅😅😅😅Mii nikiona mdada anapenda nyimbo za zuchu tuu aaaaah hapana View attachment 3063823
Sorry, hilo jina we ni Ke au Shoga?Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Watakurogaaaa😅😅😅😅
Ukioa mambo haya huhangaiki nayoMambo ya red flags 🤣
Awe na hela au?Natafuta mpenzi, awe mrefu mweusi.....
Hata kama anarara kwako kira siku😂😂Nikiona anapenda sana kuposti picha kwenye social media halafu hajui kutofautisha kati ya R na L.
😂😂Aaaaah nilijua utasema asiyejua kupika ahahaha
NdioAwe na hela au?
Wee ndo malkia wa mapishi humu...
Mi nikiona mwanamke anaombaomba hela nikishamla maramoja tu naanza kumpotezea akipiga simu sipokei, akiandika sms sijibu, niwa na upwiru namtafuta nampa hela namla siku nikimchoka analamba block natafuta mwingine. Sitaki wanaojiuza mieKuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.
Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.
Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.
Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Tafuta tu wale wanasuppotigi rangi nyingi 😂😂😂😂😂😂Mimi mwanaume asiejua kudekeza na kubembeleza naonaga kabisa nitakufa siku sio zangu
Yani kuwa strong women ndo sijawezaga 😀😀