Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Nakaribia Burundi sio kwa mbio hizi
 

Attachments

  • Screenshot_20240816_090329_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20240816_090329_WhatsApp.jpg
    92 KB · Views: 4
Mtu ndo Kwanza siku ya kwanza unampanga muonane,,halafu anakwambia uende na CHIPS,NDIZI ZA KUKAUSHWA na TENDE,duhhh mtatuua
 
Wewe kaka mkubwa ni haki yako si uko mambele hata papuchi ukipewa unaipiga kistaarabu sio km wamatumbi wetu huku.!!
Huku ukila chips zake za buku anahakikisha mwendo uliokuja nao sio utakaondoka nao 🤣🤣🤣🤣

Picha linaanza umeingia gheto, anakuingiza ndani wewe na viatu vyako. Hizo chips unakula kakusimamia anaona km unachelewa.!!
Sasa si bora umuombe pesa ujue moja lasivyo ataipiga mipigo yote ukose had pesa ya panadol kupoza maumivu..! 😹😹😹
Na ambavyo sio wastaarabu sasa malaya kila kona wana madem
 
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.

Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.

Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.

Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
Nikikosa tuu time yake basi
 
Back
Top Bottom