Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

Kabisa mapenz hayataki ubabe Kila wakati kwakweli nisipodekezwa hata najua napendwa Huwa sifurahi

Hapo lazima sura iwe na nuru sasa ukutane na mtu asiejali unakuwa Kama upo kifungoni,, wanaume ambao sio romantic wauwawe [emoji41]
 
Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote.

Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali.

Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na akituma meseji sijibu. Au nikimuona anafaa kwa matumizi ya siku mbili tatu nakua nae kwa kipindi kadhaa alafu nampotezea.

Wewe ukiona sign ipi unajua hamtofika mbali? Na hua unafanya nini?
unataka hela ambazo hata baba yako hakuweza kukupa..... ishi maisha tafuta pesa zako uipumzishe hiyo mbunye
 
Hapo lazima sura iwe na nuru sasa ukutane na mtu asiejali unakuwa Kama upo kifungoni,, wanaume ambao sio romantic wauwawe [emoji41]
😀😀😀Kabisa hawana mchango kwenye sekta ya mahusiano
 
😂😂😂😂Mimi mwanaume asiejua kudekeza na kubembeleza naonaga kabisa nitakufa siku sio zangu
Yani kuwa strong women ndo sijawezaga 😀😀
Nafasi ikitokea usisite kunijulisha.Kubembeleza na kudekeza imekuwa kama kipaji kwangu.kiufupi Nina uzoefu wa kutosha kwenye hiyo sekta
 
Nikianza story za pesa yeye ananisimulia matatizo ya kwao, simu nyingi zisizokuwa na umuhimu anakumbushia kupewa mbunye.!!
Huyo baba jeni bye bye atafute wacheza porno wenzie wa bei za jioni 🤣🤣🤣
Duh..mkuu mbona kama unanisema kimafumbo?aisee kumbe wavuvi wa staili hii tupo wengi.Nitafute mbinu mpya sasa
 
Pole sana mkuu, anza kutafuta mbinu mpya aisee 😹😹
Asante sana nimepoa.Hakuna namna ni kutafuta Hela ili nikiombwa nisianze kuelezea matatizo ya nyumbani

Sasa nimeelewa stori za mbunye ni baada ya kuzingatia maokoto😎😎
 
Eti mapenzi yake yeye apewe hela tu [emoji28][emoji28][emoji28],
Ila wanawake bana.
 
Mbona mada hii ni kama ya malaya anayejiuza?

Mahusiano yenye afya huwa kila jambo linajadiliwa na wapenzi wote wawili, maana katika maisha kuna kupata na kukosa na pia siku zote siyo jumapili.

Kwa hiyo siku mwanaume kakosa kwenye mihangaiko yake ananuniwa, simu hazipokelewi na msg hazijibiwi!

Ndonikasema mada hii inahusu wauzaji na wateja wao, haihusu wapenzi.
Out of point!!
 
Back
Top Bottom