Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha,Mara Umekula...Unafanya niniπ...
Nimekumbuka wakati nipo Advance miaka hiyo...Kuna Mwanafunzi alikuwaga na simu zile Nokia za Mwanzo kabisa...
Sasa Usiku baada ya Prepo ndiyo tunaigongea Bweni zima...Na siku za J2 ambazo hatuendi Prepo...Siku moja Mwenzetu akawa anaongea na mtu wake...Mtu wake Akamuuliza Umelala akamjibu ndiyo...Akamuuliza tena umevaa nini...Akamjibu Sandaπ€£π€£π€£π€£π€£
Tulicheka Bweni Zima kama Vibwengoπππ