๐น๐น๐น Mahanjamu kwa wanawake sio kipaumbele chetu, pesa ndio hufanya mahanjamu yanoge.!!
Pesa kwenye husiano km chumvi kwenye mboga ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ๐โโ๏ธ
Mimi mwanamke anayetanguliza pesa namuona kama malaya tu.
Kama mtu anayesumbuliwa na umasikini ambaye hana pesa zake anategemea mwanamme ili apate pesa.
That is a turn off for me.
Even as by nature I am a very good provider, I pay bills, etc.
Lakini ile kuwa na mwanamke mwenye expectations za pesa naona kinyaa.
Labda kwa sababu nimekaa nje sana na sijazoea wanawake wa Kitanzania wengi ambao wana tabia hiyo ya kufanya wanaume kama ATM.
Kuna siku nilikuwa namtongoza dada mmoja Mmarekani, nampanga tutoke dinner.
Akasema hawezi kutoka dinner, hana pesa.
Nikamwambia usitie shaka, nitalipia kila kitu.
Akaniambia yeye hawezi kwenda dinner kama hana pesa zake mwenyewe, hata kama atalipiwa kila kitu.
Nikasema dada zetu wa kibongo wako wapi waje wapate darasa hapa?