Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Yaliyoimbwa mkuu...Ukiona anapenda nyimbo za Zuchu au anayependa kufanya yaliyoimbwa kwenye wimbo huo?
Unatuma na ya kutolea lakini haji, je utaendelea kumpenda mtu muongo muongo?
Napendaje mtu anaesema nitume na yakutolea alaaaah